MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Ninawalaani waliofanya kitendo cha kinyama kutuondolea uhai wa mpambanaji Marehemu Alphonce mawazo, Mungu pekee ndiye mwenye kujua adhabu yao siku ya kiama.
Siasa za Shujaa huyu hazikua na tofauti hata chembe na Siasa za Mh Lema, kwa hakika muda ungekua shahidi! Si ujengaji wa hoja wala ujasiri wa kuzungumza awapo jukwaani, anavyojiamini Mh Lema ndivyo alivyokua Mh Marehemu Alphonce Mawazo.Katika kipindi kama hichi naamini kabisa Mawazo angekua ni miongoni mwa Wapinzani wabaosota mahabusu kwa sasa.
Hua kila nikilala na nikiamka bado sijakutana na kijana jasiri aina ya Marehemu Mawazo, hayupo na bado hajaonekana. Sijajua ni lini atazaliwa mpambanaji wa aina yake lakini kila ninampomkumbuka shujaa huyu hua naumia sana sana, hiki kilikua ni kigingi ambacho Mungu aliamua kukichukua lakini hakika CCM wamhepata shida sana hapa.
Kwa hakika Upinzani nchini ulipoteza kijana jasiri sana kwa makusudi na matamanio ya dunia juu ya kundi ovu la mawakala wa shetani,"
"Mungu akurehemu huko uliko na hakika tutakuenzi Milele ALPHONCE MAWAZO", Ameen!!!