Recent content by Kukamido

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chacha Machange: Je ni yule kijana aliyekuwa akiishi kwenye handaki jirani na Mlimani city?

    Tumuombe sana Mungu atujaalie afya njema. Maradhi yanatisha sana.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Arusha nisaidieni kumpata huyu tapeli

    Mkuu Ringo njoo na mrejesho Wa utafutwaji wa bwana aliekutapeli.
  3. K

    JamiiForums Tanzania MWISHO WA DUNIA umewasili

    Ndivyo ilivyo na huo ndio ukweli,kubali kataa.kila lenye mwanzo halikosi mwisho mkuu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wavuta bangi huongea maneno yenye busara sana?

    Teh teh umenifurahisha sana kuitia chachu hii mada,sasa naona imebalance.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Askari auawa kwa kisu na mtangazaji wa redio

    Rip kamanda na unaweza kuta askari ana mke wake hako kabinti kalikua ni mchepuko tu!kuna vya kujifunza sana kwenye huu uzi.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa Stars Vs Malawi

    Mkuu mechi ya taifa stars na Nigeria uliangalia mpira kweli!unawezaje kusema tulijihami!
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taifa Stars Vs Malawi

    Twendeni mapema tukawasapoti vijana wetu!kwa pamoja inawezekana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu DSTV imenishinda

    Huu uzi umefuta kabisa hamu yakutaka kua na hii kitu.vibanda umiza vinitarajie sana.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tunamtesa bure Sanchez hii arsenal sio saizi yake.mzee Wenger ameshindwa kabisa kwenye uhamasishaji ukijua huna wachezaji Wa maana basi angalau uwahamasishe zaidi.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Haya waletee!
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samatta aongoza 'mauaji' ya TP Mazembe

    Safi sana jembe endelea kutuwakilisha vyema watanzania.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo natangaza kuwa na roho mbaya

    Ukitaka uonekane mbaya dai chako!
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mzee Wenger hayuko siriasi!ni Liverpool wenyewe ambao nao hawako vizuri kwenye ushambuliaji mechi kama ya Jana na makosa yote aliyoyafanya chambers kama unakutana na timu zenye Mipango ni hatari sana. Mzee anahitaji kununua beki Wa kati pia achilia mbali Streka,Wenger ana moyo wa chuma sana...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkopesha hela, baada ya kunionjesha tunda kagoma kunilipa

    Hizo ndio gia zawanawake Ndugu,mwanamke akikukopa mfano 100000 kama unania ya kumkopesha ili ulipwe baadae ujue hulipwi ila tafuta 50000 MPE tena muambie hii nakusaidia tu,lasivyo utalipwa mapenzi tu,hawana kawaida ya kulipa wanaume!japo si wote
  15. K

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Augustino Mrema kuchukua fomu ya Ubunge, Jimbo la Vunjo

    Mrema hii sasa sifa!
Back
Top Bottom