Arusha nisaidieni kumpata huyu tapeli

Arusha nisaidieni kumpata huyu tapeli

Ha ha ha a, laki si pesa mimi Mtumishi wa mungu nataka nimtie mikononi mwenyewe ndo maana hata polisi siendi.

Nikuambie kitu wasiliana na tcr.a au nenda makao makuu ya mtandao anaoutumia wanaouwezo wa kukuambia anapatikana wapi kwa muda huo unaomfuatilia na uwezo wa kumkamata unao kwa kushirikiana na police kitengo husika amini hivyo kuna mtu alishawahi jaribu na akafanikiwa.
 
wape watu wa kazi...wazee wa fraud za mitandao watamkamata kaka kuku
 
Mara ya mwisho nilimwona Picnic majira ya saa 2 usiku laikini ilikuwa kama miezi miwili iliyopita.Jamaa ni tapeli haswa kuna rafiki yake yuko mitaa ya Soko kuu dereva taxi kazi yao ni utapeli sidhani kama wanashughuli nyingine.
 
Mkuu Ringo njoo na mrejesho Wa utafutwaji wa bwana aliekutapeli.
 
Huyu jamaa nadhani ndo alimtapeli binti na mama yake pesa za kutosha.
Akakimbilia Dar
 
Naendelea na zoezi la kumtafuta jamani, jana usiku kanitumia massage whatsup ya kuniomba samahani usiku but sikuweza kuiona Lakini nilipojaribu kumtafuta asubuhi simu zake zilikuwa zimezimwa nafikiri Kuna rafiki zake walumsoma huku wakamshtua.
 
Back
Top Bottom