Recent content by Kukakuona

  1. K

    JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Umeongea uwongo mkubwa ndugu yangu,tabia ya mtu, haijumulishi kundi la watu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Eeh Mungu, Waadhibu vikali wote waliochonga kesi ya Mbowe

    Angalia unachokisema,wanasema kama hujui ni busara kukaa kimya kuliko kumsingizia au kumkandamiza mnyonge.Kuna mtu alikuwa anakula godtime kama Makonda,jalibu kujifunza hata Kwa mifano
  3. K

    JamiiForums Tanzania Napataje kitabu cha Zabron wa sitosahau?

    Zabron kazi ya Mungu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Leo Magufuli hayupo madarakani, Wapinzani hawapo bungeni, Job Ndugai sio Spika tena na Prof. Asaad sio CAG tena

    Binadamu usijaribu kushindana na mda,siku zote tenda wema ingalau utakusaidia maishani,kwani Time will tell
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya Mwamposa yanaweza kumsaidia mtu aliyepooza mwili?

    Yesu anawezaje kuponesha wakati yeye mwenyewe alimuomba Mungu wake amuepushe na kikombe cha mateso,si angejiepusha mwenyewe tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ninasikitishwa sana kupanda kwa kasi ya ajabu bei ya vifaa vya ujenzi

    Ninachoipenda hii serikali sikivu ya CCM in anapoharibu,huwa inaharibiya wote bila kujali wewe ni chama gani,tunaisoma namba wote
  7. K

    JamiiForums Tanzania Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Tumeelewa kama muhusika alivyomaananisha,kwani kuna ubaya,tatizo wewe unataka tuelewe tofauti
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

    Hii mijadara ndiyo inayoonyeshaga taswira nzima ya upeo wa watu,jibu lake wakristo.wamejikata sana kwenye Elimu toka miaka na miaka,wakiwa na Ajenda ya Kanisa Shule,Hospital,Wakati Waisilamu ni misikiti na Madrasa, Lakini tujiulize hii Elimu ya kukariri inamsadia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

    Paroko hebu ingia jukwaani uone watu wanavyopanga Uasi,na hii yote wameacha kutii Amri za kanisa na Viongozi wao,wasipoangalia hawatakwenda peponi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

    Nimesema wote mnaopinga kesho jmapili muende kuungama kwa Padiri,hiyo ni dhambi kubwa,mnataka kupingana na Viongozi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ngumu kusikia Mauaji ya wanandoa Zanzibar kama Bara

    Wewe mke au mume?usiyependa kuoa mke zaidi ya mmoja,unajua hekima za kuoa mke zaidi ya mmoja?
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waachana siku tatu kabla ya ndoa

    Umeongea point sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakukuwa na Manabii/Mitume Waafrika (watu weusi)?

    kwa hiyo unataka kunithibitishia kwamba leo hii ukaambiwa Yesu kaludi yuko uwanja wa Taifa,kwa picha yako unategemea utamkuta kavaa suti na tai kama wachungaji wenu?ebu jalibu tu hata kutumia lugha ya picha
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Kuna Waziri mkuu wa zanzibar aliwahi kuuliwa?ndiyo nasikia leo?
Back
Top Bottom