Kusema juu ya MA ESCRO ni makwaru kwaru au kuelezea udhaifu wa utawala uliopita ilikuwa nongwa? Magufuli hajaja kuleta fitina Bali ni mpatanishi ndiyo maana hata kesi ya Minja ilimkera na mfumo wa usambazaji wa EFD!!!
Hofu yako nini? We acha fagio lipite kama chumba chako kiko safi hawatafanya usafi wakati pako safi!!! Huwezi kuchapa kazi bila kujua ufanyaji wa kazi wa wahusika ukoje,,,? Mimi nipo tayari fagio like chumbani kwangu hivi sasa ni wakati wa MBIVU NA MBICHI kujulikana!?
Pole sana kwa taarifa za kizushi! Rais anashughulikia chanzo cha ukwepaji wa kodi na nidhamu katika utumishi uliotukuka muda unakuja hivyo ni vitu vidooogo sana.
Wabunge si wa muhimu kama afya zetu, Elimu nk. Dr. Magufuli songa mbele magari na posho zao ni kodi za wananchi , nchi yetu imefikishwa hapa na hao wapiga hela tu! Kwani ni lazima wawe na magari ya kifahari? Mbona wakiacha ubunge wananunua suzuki? Na wanaishi tu!
Wizata muhimu ni...ULINZI NA USALAMA, MAMBO YA NJE, FEDHA NI YA RAISI MOJA KWA MOJA..! AFYA..
Za muhimu ni nne tuu. Zingine ni mzigo tuuu. Maana kuna wakuu wa Wilaya..Wakuu wa Mikoa..Wakurugenzi...makatibu wakuu ..usalama wa Taifa nk. Hawa wote wanawajibika kwa RAISI ....kwa nchi km hii yenye...
Kutambiana kwa UKABILA ni athari kubwa kwa jamii!!! Mimi ni msukuma hivi ... Wachaga wanakosa gani hata tuwahukumu hivi? Angalieni msichonganishe makabila ..... wasukuma hatuna ugomvi na wachaga....km ni kero za nchi hazijatengenezwa na wachaga Ama wasukuma....kwa nini msiseme ukweli wa mambo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.