Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,268
Bazazi mwenyewewe ni binzari kweli,,,lowassa mchaga
imedanganywa Lowassa ni Msukuma basii ukajua wamasai nao ni wasukuma
Lowassa ni Mmeru anatoka Nchi ya Kaskazini
Bazazi mwenyewewe ni binzari kweli,,,lowassa mchaga
Wewe unafaa kupuuzwa na kila aliyezaliwa na mwanamke. Ushindwe na ulegee; ukabila ndo unaendekea mpaka sasa katika zama hizi. Badilika ndugu!safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
Wangekuwa hawana imani wasingemchagua Magufuli kwa ushindi wa kishindo,kikanda hiyo ndio kanda aliyoongoza magufulikujizolea kura ,hata wapiga deki barabara walimpigia kura za kishindoKwanza niwapongeze kwa ushindi mkubwa mlioupata kanda ya ziwa japo sehemu zingine mliupora kwa walioshinda.
Ukweli ni kuwa wananchi walio wengi kanda ya ziwa bado hawana imani na CCM na wana majonzi mazito kutokana na matumaini yao kufifia.
Ushauri wangu kwa CCM ni kuwa wasipojitahidi kurudisha imani kwa wanakanda ya ziwa 2020 hali yao itakuwa mbaya sana.
Tusubiri tuone.
Acheni ukabila.
Alafu mnapowazungumzia kaskazini mnawasema sana Wachaga. Huo ni wivu wa kimaendeleo tu. Wachaga ndio kabila lililoendelea sana Tanzania, kibiashara hata kielimu. By the way mimi ni mmasai
Nadhani ulikuwa unaandika kwa utani. Sitaki kuamini kuna watu wamejaa ukabila wa kiwango hiki kati yetu Tanzania. Na kama ndivyo, basi tuna tatizo kubwa la kujichukia wenyewe na kuendekeza ukabila, udini, rangi, umbo, na vyovyote. Hata wanyama wanatushinda, wanyama wana rangi na marakaraka kila aina lakini sijawahi kuwaona wakisema wewe wa Kaskazini, wewe kuku au mbuzi wa kusini. This is extremely too stupid if not silly. Samahani, nachukia sana ubaguzi.
mkuuu Mimi ni msukuma Og toka kijiji cha kikubiji, kata ya sangu tarafa ya mwamashimba wilayani kwimba, nafanya kazi Rombo tarakea na sijawahi nyimwa ushirikiano na jamii hii ya wachaga eti kisa Mimi msukuma, wachache wenye hoja mfu kama wewe ndio mnalipasua taifa na hyo laana haitowaacha
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
Kwa hii kasi ya Magufuli naimani huko tuendako chadema watakuwa na hali ngumu sana kanda ya ziwa. Maana ata kura alizokosa ni zile za mashaka kwa chama chake ila sasa ni kama anaitakasa ccm na serikali. Ngoja tuone.
Sori 2015 typing errorNamshangaa eti wameporwa lol. Tumejitambua 2015 tumekataa kutumiwa. Viva ukanda wa ziwa
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
safari hii ingekuwa maajabu ya 8 ya dunia
kabila kubwa kabisa limebarikiwa kumpata mgombea wa kabila lao halafu limkatae
eti likamchagukutoka Milama Meru au Kilimanjaro yaani ningewapuuza sana
HONGERENI WASUKUMA, WAHAYA, WAZINZA nk kwa kuwakataa Wachagga waachieni labda vibiashara lakini sio SIASA
ni uhakika Magufuli na CCM yake ni mpaka 2025, sasa hapo ndio tutaangalia km ni Mgogo au Mbena lkn Kaskazini wasubiri kauli ya Baba was Taifa na Ridhiwani hazijafutika
Ndo ukweli usiofichika wachaga walijiona wao wanaweza teka nchi yoote wakasahau sensa ya mwaka 2012 ilitoa takwimu gani... ona sasa Wasukuma walivowanyoooshaaa.....hahahhaah? na CDm ya mbowe isahau kuigia ikulu
Acha ukabila wewe, mtu anachuguliwa kwa sifa zake na siyo kabila lake