Habari za Jioni Wakuu...! Poleni na Harakati za kutafuta ridhiki niende moja kwa moja kwenye mada husika
Mimi nilikuwa na shemeji yanu tulikuwa tumezoeana ile mbaya Yani ikafikia wakati Mpaka Ndugu yangu akagombana na Mimi baada ya hali hiyo kutokea Mie sikutaka yajirudie tena nikaamua kuacha...
Sio kila Mtu anafani ya uandishi cha muhimu umeelewa anachomanisha....! Elewa hiloo
Hatuwezi kuwa Wote Waimbaji wengine Tutabaki kuwa Mashabiki...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivyokuwa Mdogo niliamin kuwa polisi Wakikukamata mhalifu lazima upigwe Tanganyika Yani
polis wakupige Tanganyika jekiii Aiseee...! Baadae ukija kujiangalia kanguo katika kanaweza kuwa hata na kamaviiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.