Kama serikali wangefuata ule ushauri wangeokoa pesa nyingi sababu gharama za kukodisha ile mitambo ni kubwa sana na mpaka sasa hela waliyotumia kulipia kwa kukodisha ishazidi gharama ya kuinunua,kwanza kwa hela gani mliyokuwa nayo wa tz mpaka mkatae kununua used wakati hata mishahara ya walimu...
Kulikua na kikao cha wazazi kuhusu vijana wetu wanaosoma watu wakachangia ndo ikawa zamu ya mzee mmoja wa kihaya na tulimjua kabila lake kutokana na jina na lafudhi ikawa badala ya kuongea kilochomleta ikaanza kujisifia km nusu saa akataja hadi mshahara anaopokea kazini,alichowauzi watu alisema...
Me kabla cjaanza kutumia tecno p3,nilikuwa nnatumia samsung c5212 nilikuwa nnadownload movie nyingi tu,lakini hii tecno kila nikitaka kudownload naambiwa niweke download manager nikijaribu kudownload yanakuja mambo ya kuandika account no wakati samsung nilikua siulizwi hayo mambo,km kuna anaejua...
Hao ni watu waliyojifanya misukule ilikuwa inaandaliwa kupelekwa kanisani mchungaji ajifanye amewatoa watu watoe sadaka makanisa ya mitaani mnatabu sana mm kkkt daima.
Usingewaweka shilole na snura ningekukumbusha maana hao hawana kipaji cha muziki mtaji wao wa kuvutia watu ni kucheza uchi watu wakishangilia wanajua wanafurahia muziki wao kumbe wanashangilia kuona pichu
Kama haujaanza kupga puchu usianze,me kila nikijitahidi kuacha nnashindwa,hla nye.to raha jamani unajipimia mwenyewe saizi unayotaka cyo dem mara k kubwa huku hamna unajipimia
Mtaani kwetu kuna walokole wanalia ucku hadi asubuhi halafu walikuwa wakilia wanatumia mic tumeenda kuwaomba jamani mkiwa mnalia tunaomba msitumie mic ss hv ndo wanalia bila ya mic kidogo afadhari.
Israel angekuwa na uwezo wa kuipga iran angekuwa ameshapga,ww haujiulizi kwann syria na sudan ameshambulia lakini kwenda iran anamsubiri obama mbona haendi km alivyoenda syria kupga na obama amemkaushia km yy taifa teule aende tumeshachoka kelele zake kila siku ntaenda kwenda haendi
Hz movie bro anazipenda sn anazo 1 hadi 3 kumbe ni nzuri sn bahati mbaya kila nikijitahidi kuziangalia nashindwa maana siwezi kuangalia movie nusu saa nisilale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.