Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Kikwete, walifanikiwa kutawala na kumaliza nyakati zao kwa kuwa walijua namna ya kuishi na watu, kauli nzuri hasa kwa waliowapinga, na namna ya kusoma ''alama za nyakati''. Dunia ya leo huwezi kuwafunga watu ''mdomo'' kwa kutumia nguvu za dola, kamwe...