Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Wanaume bana! Mnachekesha sometimes...
Kama hujawahi kuchepuka na hutegemei kuja kuchepuka muache mkeo. Kama umewahi chepuka msamehe mkeo maisha yaendelee mlee watoto. Watu wanakushauri umuache lakini madhara utapata wewe binafsi na utawatesa watoto na ipo siku utakuja kujuta kwa kosa ulilofanya.
Samehe mkeo, muweke chini mzungumze tatizo ni nini. Asipo badilika hapo ndo unaweza kumuacha. Kosa moja halimuachi mke/mume.
We sikiliza tu ushauri wa vijana tena wengine hata hawajaoa, utajuta wewe peke yako.

Wanawake suala la kuchepuka mnalichukulia kiurahisi sana



Yani mtu anaonywa leo keshokutwa anaenda kuvua chu.pi halafu nianze kufikiria mara mbili?!
 
Mmh mkuu pole ... wakati ulionao ni mgumu kuliko .. kama utaendelea na mkeo usipambane na mchepuko sababu atasambaza mapicha. Ila mkeo nae kachepuka kijinga sana ...

Ushauri fuata moyo wako
Kama ulishawahi mcheat nadhani ni revenge
 
Ni tatizo kubwa,lkn source n sisi wanaume.wengine wako na familia zao lkn wapi,wapo tu wanaendelea kutongoza wake za watu.
Mimi last week wife alienda hospital naitaja ili huyu muhusika kama yumo humu ajue nitadeal nae(TMJ hospital),jina la huyu doctor ninalo,alimuhudumia mke wangu.
Alivyomaliza kwe form zile za bima akachukua no za cm za wife.
Jion Mara akaanza kumtumia SMS za kumtaka kimapenzi,wife akamgomea lkn bado ameng'ang'ana anataka tunda.
Sasa wkend nimeshinda home,Mara cm ya wife inaita,Mara SMS,sasa wife hana waswasi,anajiamini,akaniambia"Baba x" angalia cm yangu nani anapiga? Niletee huku jikoni,
Nacheki no mpia,mara SMS nyingine,nikasema ametuma SMS,wife akasema hebu icheki inaeza kua ni dogo WA bodaboda kakamatwa,kufungua tu n hiyo doctor,ametuma SMS kwa wife,
Mimi nilichanganyikiwa,nikampigia kwa no zangu,akapokea hana majibu,nikamuuliza hivi ndivyo taaluma yenu madaktar kutongoza wagonjwa? Naomba niishie hapa lkn bdo namfuatilia,lazma nimuharibie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanawake ni viumbe dhaifu sana hilo swala hakikisha una deal nalo chap chap kwa kumuadabisha huyo jamaa
Usije ukachelewa yakakutokea kama yangu maana mimi kama ninge mpigia hilo lijizi na kulichimba mkwara sikuileile ya kwanza huenda yote haya yasinge tokea ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa kila kitu ulikuwa unamfuatilia kupitia hacking, hiyo mipango ya kuliwa kwa mkeo kwanini hukumfuatilia mpaka walipopanga kuchenjuana wakati kila walichokuwa wanachat ulikuwa na uwezo wa kukifahamu?
Mkuu baada ya kukuta sms na kumkanya sikumfuatilia nikawa bize na mambo yangu..
Sasa baada ya kama wiki hv si ndio nikahisi kama vile bado wana mawasiliano ndio nikaamua ni hack sasa... Waiii kumbe tayari ndani ya wiki ileile walisha fanya yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrudishe kwao kabla ujafanya maamuzi mengine ili upate nafasi ya kutafakari mstakabali wako
 
Mkuu baada ya kukuta sms na kumkanya sikumfuatilia nikawa bize na mambo yangu..
Sasa baada ya kama wiki hv si ndio nikahisi kama vile bado wana mawasiliano ndio nikaamua ni hack sasa... Waiii kumbe tayari ndani ya wiki ileile walisha fanya yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, pole sana kiongozi!
 
kaka huyo atakuwa na tabia ya umalaya jarbu kuchunguza zaid ya hapo.saiv uskurupuke utakapo pata ukweli ndo uchukua atua.ila nawe una moyo kweli unakuta wife kachati na njemba unavunga mi ningeshavunja mkono siku hiyo hyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna adhabu kubwa kama kumnyamazia mtu ili hali anajua unajua anachokifanya.

Ningekuwa mimi, ningemwambia kwa upole kabisa kuwa "Nimefahamu kuwa unatembea na flani" halafu unamuonyesha naushahdi then humgombeshi wala kumkaripia unapotezea kabisa kana kwamba hujui kinachoendelea.

Baada ya siku mbili atajinyonga au atakimbilia kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa ivi ni kweli silence is killing
 
1. KAMA HUJAWAHI KUGONGA MECHI NJE MUACHE, KAMA ULISHAWAHI NA UNAENDELEA, KAENI CHINI MUWEKE MAMBO SAWA.
2. Fanya naona yoyote umjue wife wa jamaa, kama anavutia muombe uchi akikataa mwambie ukweli kuhusu uhusiano wa mume wake na mke wako, akikubali kulambwa weka record, kisha muonyeshe jamaa.
 
Much respect mkuu hili jambo sijamwambia ndugu yoyote kwangu wala kwa mke wangu
Hata rafiki yangu yoyote yule..
Nimeona lina niumiza sana na naweza kufanya kitu kibaya
Ndio nikaamua kuja kulisemea hapa jf..
Nipo njia panda yeye mwenywe anaogopa sana ndugu zake kujua nilimwambia usipo sema ukweli wote natoa taarifa kwa wazazi wako...
Hapo alilia sana na kunisimulia kila kitu... Huku akiomba nimsamehe
Anashinda ndani akilia tu kutwa nzima
Nashindwa kufanya maamuzi maana najua haya maamuzi ntakayo yafanya sasa hv ndio yataamua maisha yangu ya baadae kwenye mahusiano...
Ana mambo mengi mazuri ila hili moja limechafua kila kitu...
Maana kila nikimtizama picha ya usalit wake inanijia akili mwangu
Naogopa sana maana hasira zangu nazijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu...kwa hizi hasira ulizonazo nakushauri kwanza ujipe space....kama unaweza kuchukua likizo na kusafiri kwenda mbali kupata mapumziko fanya hivyo,muda ni tiba kubwa sana....ukitoka huko utakuwa na maamuzi sahihi ambayo hayatakuwa na msukumo wa hasira.
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfate hyo mwanaume mweleze ukweli kua hyo ni mke wko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana kwa mkasa huo.
Mimi binafsi ni mgumu kusamehe hilo nalijua kabisa kwa sababu kabla ya kuoa nilishaacha wanawake kibao walionesha dalili za kua mawasiliano na wanaume wengine, hata ninapoamua kusamehe baada ya muda nakumbuka na ugomvi unaanza upya kana kwamba imetokea leo.

Sasa mpaka nampata mchumba rasmi ambae sasa ni mke wangu, nilimwambia afanye makosa yote ila nikihisi anachepuka au anawasiliana kidume mwingine moyo wangu hua hauwezi kusamehe ni vema ajue akichepuka ndio mwisho wetu kwa kua hata mimi sipendi kwenda jela, najijua kabisa akili yangu na fitna yangu inaweza dumu zaidi ya miaka 10.

Ninachokushauri mleta mada; kama moyo wako unajimudu kusamehe basi samehe lakini kama huwezi kusamehe 100% ni vema huyo mke umuache na ulee mwanao kwa njia yoyote unayoweza.

Mimi siwezi kusaheme na nikimuacha mke wangu sitathubutu kuoa, naomba Mungu anisamehe tu kwakua na roho hii mbaya.

......
 
Wanabodi..
Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja..
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake... Ni mwanamke mwenye vission

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha
Pili sio mvivu ni mchapa kazi
Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa..
Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake..

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na msg za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa..

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae..

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi..

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack whatsup ya wife kwa kutumia whatsapp web..

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live.. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi...

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta...

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi [emoji24][emoji24] tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya..

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli
Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji
Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo..

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa..
Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje..

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha...

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa Jamiiforum nimeona ndio kimbilio langu pekee..

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza...

Naombeni ushauri na sio matusi
Asanteni..

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu,
Awali ya yote, nikupongeze kwa kuwa mwanamme aliyekomaa mwenye uwezo wa kukaa na jambo kifuani. Wewe ni mwanamme kati ya wanaume, kwa jinsi ilivyo kushughulikia suala la ndoa yako.
Sasa nitoe ushauri wangu:

Kwanza naomba utulie sana kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale maana: Ukifanya maamuzi ktk hasira uliyo nayo, kuna wakati huko mbele utajutia maamuzi utakayoyachukua kwa sasa na hali uliyo nayo.

Pili: Maisha ya unyumba hujengwa na vitu vingi sana zaidi ya kitendo cha kulala kitandani. Japokuwa wengi wanadhani ''tendo'' la ndoa ndo msingi, lakini ukifikiri kwa makini, utakuta hilo ni moja kati ya yake yanayojenga ndoa. Hivyo, kumbuka mema aliyokutendea, na uyape kipaumbele, then utajikuta umepata moyo wa kusamehe kwa ajili ya kulea mtoto wenu.

Tatu: Ikiwa na wewe uliwahi kujaribu nje, basi kaa chini, dhamiri yako iongee na MUNGU wako, then usamehe usonge mbele, ndiyo uanaume huo.

Nne: Sijui wewe ni muumini wa imani gani. Hakuna dhambi isiyosamehewa kwa MUNGU. Msamehe, na uombe MUNGU akupe moyo wa kusahau. Na kama ukisamehe, nakusihi sana, tena sana kwa kukupigia magoti: MSITIRI MKEO, USISEME HATA KWA NDUGU ZAKE!!!! Huyo ni mkeo, umezaa naye, na tatizo limetokea njiani, sasa usiruhusu tatizo likaharibu malengo yako ya awali.

Mwisho: Japokuwa JF ni sehemu ya ushauri, na hata mimi umekutana nami humu humu, lakini si mahala salama maana si wengi walio na mitizamo chanya kwa masuala mapito kiasi hiki hata wakakushauri vizuri.

NB: CHUKUA MUDA KUOMBA MUNGU AKUPE UJASIRI ZAIDI, ILI UPITE KWENYE JARIBU KUBWA HILI LILILOKUKUMBA. NAMI PIA NITAKUOMBEA. Nimetamani kuzungumza nawe inbox. Nitafute kwa namba hii 0767 767 299.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wengina bana sasa unambanabana kwa nn muache akaonje ajionee radha nyingine


Na kama utaamua kukomaa naye unaweza kufa ukamuacha yy anatanua

Kitu kusifiwa na mwanamke kwenye kumega mkate ni kawaid tu


Ulipaswa uwe na moyo mkuu kama unampenda ungejifunza kipi kimemfanya atililike kwa jamaa wewe ungegundua kossa lako liko wapi ungesahihisha baas ungemaliza mzk

Au ukubali kuachana naye kwa sababu hataacha kama kilichompeleka kwa yule jamaa ww hunacho utapiga mpaka utaua hataacha ng'0000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Much respect mkuu hili jambo sijamwambia ndugu yoyote kwangu wala kwa mke wangu
Hata rafiki yangu yoyote yule..
Nimeona lina niumiza sana na naweza kufanya kitu kibaya
Ndio nikaamua kuja kulisemea hapa jf..
Nipo njia panda yeye mwenywe anaogopa sana ndugu zake kujua nilimwambia usipo sema ukweli wote natoa taarifa kwa wazazi wako...
Hapo alilia sana na kunisimulia kila kitu... Huku akiomba nimsamehe
Anashinda ndani akilia tu kutwa nzima
Nashindwa kufanya maamuzi maana najua haya maamuzi ntakayo yafanya sasa hv ndio yataamua maisha yangu ya baadae kwenye mahusiano...
Ana mambo mengi mazuri ila hili moja limechafua kila kitu...
Maana kila nikimtizama picha ya usalit wake inanijia akili mwangu
Naogopa sana maana hasira zangu nazijua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakusihi sana usimwache huyo mwanamke kwa faida ya malezi ya mtoto wenu. Itakuchukua muda kusamehe au hasira kuisha lakini vumilia muda ndio dawa ya hasira na huzuni. Ingekuwa bora kama yangeishia kati yenu watatu tu. Yani wasaliti na wewe, sema binadamu wanamengi sana hasa wenzetu hao wanawake hawatabiriki, anaweza shikiwa akili na kulishwa ujinga tena na hapo hakuna msamaha. Sasa kumshitaki kwa nduguze ni ushahidi tosha hapo baadae akirudia ujinga ukahamua kutengana nae, pia huo ni msaada kwako wa kudai mtoto akae nawewe baada ya kushindwana ikifikia huko. Ushahidi huo utakusaidia kwamba huyo mama wa mtoto ana tabia mbaya hastahili kulea mtoto sababu ya maadili mabovu. Pia hao watu hawachelewi kutujengea picha wanaume kwa jamii kwamba wakorofi au chanzo ni sisi. Lazima umshitaki hata kwa ndugu yake mmoja umwambie abaki na siri hiyo isiwe kesi ya ukoo wote, hii aibu ikimkuta anaweza kusita kurudia kosa vinginevyo binadamu wepesi kusahau na kurudia kosa.
 
Kati ya mambo ambayo sitakuja kuyaombea ushauri endapo yakinipata ni pamoja na hili kwenye huu uzi! Nitafanya maamuzi "in suo morto"!
 
MM NAKUPA USHAURI WA BURE TU WW NDIE UNAEJUA ADHABU UNAYOIPATA KWA MKEO NA PIA UNA USHAHIDI TOSHA SASA KAZA PIGA MOYO KONDE NA KUWA NA MSIMAMO MMOJA HUYO HAKUFAI ATAKUHARIBIA MAISHA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom