Hivi kwanini kila mtu akiweka bandiko humu Jf mwisho anajihami asitukanwe!

Kwakweli tunategemea mwezi wa 8 atatoka hospital. Halafu mie nikienda Ndio anapata simu ya kuingia jf,Maana ameshauriwa asitumie simu. Kwahiyo nikienda Mimi anapata Hata dakika kumi za kuingia jf na kucheka Cheka.
Hivo anawatupia like
Ni kweli cm haifai kwa wagonjwa wa aina yake kuepusha mstuko lakini akipata za kuchekesha zitamfaa

Mwambie tunaziona mpe faraja swaiba wetu wote.
 
wanabodi
nimekuwa nashangazwa sn km sio kustaajabu!au inaonyesha humu wengi wetu ni betri low
mtu anaweka thread yake nzuri lakini mwisho anasema sitaki matusi!
Au kama ukiona limekukera mezea na maji!
yaani mtu hata akiweka bandiko la maana litalogusa kila upande katika jamii inayotunguzuka mwisho lazma aweke maneno ya taarabu!ooohh wale watoa povu wanakuja sasahivi.....
Kunani humu jamani Jf
ni kina nani haswaa huwa wanapewa tahadhari wasianze kutoa mapovu au kejeli..leo tuwajue



Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nilipokuwa nikisikia jf, nilijua ni.mahala ambapo watu huchangia hoja kwa umakini zaidi. Nilipojiunga, nashangaa wakati mwingine kuona upuuzi unaopostiwa na baadhi ya watu. Kuna wakati najiuliza: Huyu naye alikaa, nikafikiri kwa kina kabla ya kuandika hicho alichokiandika?????? Hata kama huna uhuru wa mawazo, lakini kingine vinashangaza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom