Recent content by ktman2

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mtalaam wa website

    Wana jamvi , nimeanzisha ka NGO kangu natafuta mtalaam wa kunitengenezea ka website ambako si a ghali sana . Email yangu - mn04363@googlemail.com
  2. K

    JamiiForums Tanzania African Union recognises Libya's NTC

    Hii eu haina hata mwelekeo bora hata oeyu
  3. K

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Ni malibukemi tu ndiyo wanaweza kumkebehi Gadaffi. Kitendo cha NATO kumpiga mabomu watu Libya ni ubeberu ambao umejidhihirisha wazi wazi Afrika . Kwa nini hao NATO wasiende kulinda Waparestina dhidi ya Israeli . Angalia kinachofanyika Yemeni , Bahrain , Saudi Arabia lakini kwa vile NATO...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Magereza,JWTZ na Polisi.

    We MKURYA ?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya ajira tanzania

    Si hivyo tu , katika usaili huu Audit mtarajiwa kuulizwa na mambo ya uchumi inasaidia nini ? /kuboresha kitu gani ?
  6. K

    JamiiForums Tanzania KOICA Scholarship ama Kanya boya tu?

    Wana JF naomba taarifa kuhusu hizo scholarship kama ni mpaka utoe hela ? Kwanza , Nilifanya usaili hatua ya kwanza na ya pili , lakini nakumbuka kuwa mtu aliyeshinda ni mtu ambaye aliniambia siku ya usaili kuwa yeye aliletwa katika Mastes program niliyoombwa na wenzagu watatu tu kutoka...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

    Ninapokunywa soda ama bia baridi huwa nasuburiwa na vidondo vya koo, Wana JF nini dawa yake?
Back
Top Bottom