African Union recognises Libya's NTC


B

ByaseL

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
2,224
Likes
25
Points
145
B

ByaseL

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
2,224 25 145
THE African Union (AU) recognised the National Transitional Council (NTC) as Libya's de facto government on Tuesday, removing another piece of diplomatic support for ousted leader Muammar Gaddafi.

The pan-African body, which has frequently been criticised for its ponderous reaction to events on its doorstep, said in a statement it was ready to support the NTC in its efforts to build an inclusive government.

It also urged the NTC to protect African migrant workers following reports of black Africans being targeted by militia units hunting down mercenaries loyal to Gaddafi.

Most European nations, the United States and Nigeria recognised the NTC from Aug. 22, while China officially acknowledged the Benghazi-based group as Libya's "ruling authority" on Sept. 12.

The AU's switch is likely to bring a modicum of pressure to bear on leaders such as Zimbabwe's Robert Mugabe, who expelled Libya's ambassador at the end of August after the envoy switched allegiance from Gaddafi to the NTC.

It also suggests South Africa, the continent's pre-eminent economic power which has a major say in AU policy, is also ready to switch sides and bring itself into line with realities on the ground, the West and regional rival Nigeria.

South African support for Gaddafi, who helped build the AU, had its roots in a long-standing relationship between the two countries based on Libya's backing for the African National Congress in its struggle against white-minority apartheid rule.

South African President Jacob Zuma has led AU delegations trying to broker a peace deal for Libya. Zuma has criticised the European Union and NATO for using force to bring about change in Libya and has called for Gaddafi's officials to be a part of a transitional government.
Source: Monitor
 
Edward Teller

Edward Teller

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
3,818
Likes
90
Points
145
Edward Teller

Edward Teller

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
3,818 90 145
AU hawana jipya,they have to face the reality
 
Mr.Toyo

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2007
Messages
433
Likes
1
Points
0
Mr.Toyo

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2007
433 1 0
it was ready to support the NTC in its efforts to build an inclusive government. Source: Monitor
Japo kwa shingo upande...however, hiyo inclusive gvt ni lazima maana NTC wanazidiwa kule Bani walid & Sirte
 
kenya-no-1

kenya-no-1

Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
6
Likes
0
Points
0
kenya-no-1

kenya-no-1

Member
Joined Sep 21, 2011
6 0 0
Ni vizuri kungojea hiyo muda wote badala ya kuwatambulisha NTC rasmi. Lakini AU ni hopeless sana kwa sababu hawawezi kuzuia chochote.:(
 
Kapo Jr

Kapo Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Messages
963
Likes
173
Points
60
Age
35
Kapo Jr

Kapo Jr

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2011
963 173 60
AU have nothing than western's needs,most of Africans leaders are papetisms-they based on grants after helps to got leaderships by western power.AU fail to solve problems faced cause of egoisms among leaders they must change systems of their ruling from adminstrators to the leaders of the people and forget about western thought-demands of raw materials,they need only Africa's wealth! WAKE Up Africans
 
T

Testimony

Senior Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
112
Likes
1
Points
0
T

Testimony

Senior Member
Joined Aug 3, 2011
112 1 0
better late than never. things are moving forward. kukumbatia mambo yaliyopita would not save the AU project.
 
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
4,089
Likes
1,181
Points
280
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
4,089 1,181 280
Wamechoka akili na mwili nadhani tunahitaji kuanzisha mapambano mapya ya kuikomboia Afrika..watu waoga kama hawa AU hawafai kabisa ni makarani wa wahuni wa ulaya na marekani
 
M

Mkomandaa

Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
58
Likes
2
Points
15
M

Mkomandaa

Member
Joined Mar 14, 2011
58 2 15
AU ni bendera hufuata upepo wa MAGHARIBI. Marekani walipomkubali Gadafi baada ya suala la ndege iliyoanguka Lokabi, AU walimkubali Gadafi hadi kukaribia kumfanya Raisi wa Afrika. Nenda Dodoma au Kampala ukaone Misikiti ya Gadafi. Sasa leo Marekani na Ulaya wamemgeuka Gadafi nasi pia sasa eti hatumtaki. Hivi ajenda ya AU nini? Nitawaheshimu sana kama mtaacha kuendesha AU kwa misaada ya Ulaya ama sivyo Afrika ndiyo imekwama hivyo. Leo Gadafi nani anajua ajenda yao labda kesho ni wewe. Tusishabikiye sana uvamizi huu wa bara letu, AU amkeni.
 
Invarbrass

Invarbrass

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
505
Likes
3
Points
35
Invarbrass

Invarbrass

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
505 3 35
Tatizo la AU ni kutojiamini. Wana act in response to the supper powers needs. Hawawezi kuanzisha, kupinga jambo kinyume na matakwa ya mataifa makubwa ndo maana wanasikilizia mpaka wasikie msimamo wa magharib ndo nao wanajipendekeza. Waoga, wanafiki na ni vigeugeu. Kama wanajiamini viongozi wa Africa waseme kwa herufi kubwa kuwa WAKO TAYARI KUWAUNGA MKONO WAASI/NGUVU YA UMMA POPOTE ITAKAPOTOKEA AFRICA. Kwamba AU msimamo wake sasa ni kuwa wananchi wakiichoka serikali yao waingie mtaani na siraha wapigane . Does it imply that AU's MODUS OPERAND is now on violence bases when solving internal conflicts? Or hii nispecial for Libya. Na hiyo international community inayounga mkono waasi eti wanakataa udictator wa Ghadaff mbona wasihamasishe wapalestina watumie nguvu dhidi ya Israel ? Viumoja umoja hivi havina mpango kama haviwezi kutetea haki bila woga heri fijifie tu kuliko kupukutisha pesa za waafrika.
 
C

Chasaka

Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
67
Likes
1
Points
13
C

Chasaka

Member
Joined Jun 23, 2011
67 1 13
In real sense we donthv our own decision,tunasubiri maamzi ya wakubwa,
 

Forum statistics

Threads 1,237,832
Members 475,675
Posts 29,302,699