Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

Du nashukuru maana hata nilifikiria OP. lakini sasa unaweza kuded sasa cha kufanya itabidi nipate mawazo zaidi wakuu nashukuru sana kwa michango yenu bora.

Maneno hayo. Nimeshasikia wengine hufanyiwa operesheni ya kuyaondoa kabisa, lakini usithubutu kufanya hivyo maana nimeshasikia matukio machache ambapo wagonjwa waliokubali kufanyiwa operesheni kufariki.

Mkuu kuwa makini unapotoa 'conclusions' kama hizi hasa pale mtu ametoa tatizo lake akihitaji msaada. Mafindofindo (Tonsilitis) ni ugonjwa unaokera sana hasa linapokuja suala la kuenjoy maakuli na vinywaji. hanuka siyependa vinywaji baridi hasa kwa joto letu hili la Tanzania na nchi nyingine za tropikali (sijui labda muhusika uko ulaya).

SI KWELI wagonjwa wanaofanyiwa operation kutoa Tonsils wanakufa. Binadamu hifa kwa sababu mbali mbali, lakini huwezi kutaja kufanyiwa operation ya Tonsils kama kitu kinachoua. Tonsilectomy (operation ya kutoa Tonsils) ni moja ya operation zinazofanywa sana atleast hapa Dar es salaam, tena wala haihitaji mgonjwa kulazwa. Katika maisha yangu ya kitabibu nimeshaona watu zaidi ya 5000 wakifanyiwa tonsilectomy na kati ya hao hakuna hata mmoja amefariki kwa ajili ya hiyo operation!

Mara nyingi huwa tunashauri watu wanaopata Tonsilitis (kuvimba na kuuma kwa Tonsils) mara kwa mara wafanyiwe operation ili kuzitoa. Ukishazitoa Tonsils ndio umetatua tatizo. Ni sawa na kung'oa jino linalouma, kwani ukiliziba ipo siku litauma tena.T

Tonsils hivyo hivyo, ukizitibu kwa dawa ipo siku zitavimba na kuuma tena. Hivyo kama wewe hilo tatizo linakurudia mara kwa mara, nakushauri uende hospitali ukamuone daktari bingwa wa ENT (ear, nose and throat) atakushauri hivi hivi navyokushauri.

Du nashukuru maana hata nilifikiria OP. lakini sasa unaweza kuded sasa cha kufanya itabidi nipate mawazo zaidi wakuu nashukuru sana kwa michango yenu bora.

Pastor nenda kapate ushauri wa kitaalam toka kwa daktari bingwa ENT. Si kweli operation za kuondoa tonsils zinaua.

Ninapokunywa soda ama bia baridi huwa nasuburiwa na vidondo vya koo, Wana JF nini dawa yake?

usinywe soda na bia baridi... then observe kama tatizo bado litakuwepo..

Achana na vitu nyote nya baridi yaani vyakula na vinywaji. Na kama hali hiyo ikielendelea kuwepo,basi tumia vidonge vya Ampicilin & VitaminB kwa pamoja.
Mtalaam atakuelezea dosage yake.

Karibu jamvini.

Kama itakupa moyo tuko na wengine wenye shida kama yako. Epuka hivyo vitu vya baridi.

Matibabu za tonsilitis (Mafindofindo)
inategemea the cause. The best option ni kumwona daktari, hii ni kwasababu it is caused by many organisms including bacteria. Ni daktari ambaye anaweza kutofautisha. Pia inategema kama ni mara ya kwanza au ni chronic. Nikiwa kama daktari wa magonjwa I dont advice ule to dawa tu au unywe maji Moto. Kama yalivyo magonjwa ya njia za juu ya hewa ni vizuri kuepuka vitu baridi. The best option ni kumwona Daktari.

Pia unaweza kujaribu,

Hii dawa ya kienyeji mie naita five in one,

1) gilasi moja ya maji

2) kijiko 1 cha asali

3) Kijiko 1 cha Uwatu iliyo sagwa (Hilba)

4) Tangawizi (fresh)

5) Kipande cha ndimu

kisha zichanganye pamoja halafu chemsha kama unavyo chemsha chai, ngojea ipungue moto kidogo kisha inywe kama unavyo kunywa chai.

poa mkuu ila kila siku naona tunarudi kwa mungu wenyewe kwa tiba fake,

Ni friend of mine,ana tatizo la kikohozi. Huwa inatokea anapokohowa,hutoka chembechembe nyeupe mithili ya punje za mchele.je linaweza kuwa tatizo gani linalomsumbuwa?

anaweza kuwa na tonsils za muda mrefu (mafindofindo)? je,ana maumivu kooni? ni vizuri akaenda kumuona daktari ili apate matibabu sahihi.

anaweza kuwa na tonsils za muda mrefu (mafindofindo)? je,ana maumivu kooni? ni vizuri akaenda kumuona daktari ili apate matibabu sahihi.

Anasikia maumivu chini ya kifua mithili ya majeraha kwa ndani. Kwani takribani 3yrs ago, alipata ajari ya kupinduka kwenye gari. Kwa mujibu wa maelezo yake,hakupata majeraha yoyote alijisi
kia yupo sawa.

Anasikia maumivu chini ya kifua mithili ya majeraha kwa ndani. Kwani takribani 3yrs ago, alipata ajari ya kupinduka kwenye gari. Kwa mujibu wa maelezo yake,hakupata majeraha yoyote alijisi

kia yupo sawa.

Kwa maelezo haya tu, mpeleke rafikiyo hospt. haraka kwa uchunguzi wa kina.

tatizo halisababishwi na maumivu ya tumbo bali kama ilivyosemwa juu hapo. Ishu inaanzia kooni. Jirani na kimeo kuna nyama lanini zenye vifuko. Sasa vifuko vimejaa. Anaweza kuvikamua pia kwa kupithsha uidole

hi wana jf,nimepatwa na maumivu ya tonsil moja ya kulia,mwenye kufahamu tiba anisaidie natanguliza shukrani.

Pole!!

Sukutua na maji ya uvuguvugu yenye chumvi kidogo mara kadhaa kwa siku.
Alafu kunywa vitu vya moto sana (supu, chai) au vya baridi sana (juice, maji) .

Back
Top Bottom