Recent content by Ksuley

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kumpiga mkeo/mpenzi ?

    Hapana Sijawahi Na Wala Siwezi Fanya Hivyo, Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AS Vita kuishitaki Simba kwa kupuliza sumu vyumbani

    Yanga Mtapata Taabu Saaana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Sahara Media Group wakesha ofisini kwa Diallo kushinikiza walipwe mishahara ya miezi 20

    Duuuuh!! Wanaweza Kuishi Na Kufanya Kazi Vp!!?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lema; taarifa za utekwaji "MO" zilete Central; Kufanya mkutano hauruhusiwi kisheria na utakamatwa

    Mhhhhhh!!! Sasa Kidogo Kidogo, Tumeanza Kutoka Ktk Kushughulika Na Tukio Na Kujikita Ktk Kudhibiti Watu. Ngoja Tuone Lipi Litakuja Na Matokeo Tunayoyatarajia Watanzania Wengi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

    Alcatel, Hata Aina Yake Sikumbuki, Maana Iliibwa Mapema Tu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Mwandishi wa Habari matatani baada ya kusambaza picha ya Askari akinywa pomba akiwa amevaa sare za kazi

    Gazeti Lao Hilo, Hakuna Kesi Yoyote Hapo, Huyo Askari Hataguswa Na Mwandishi Hatashitakiwa, Ingekuwa Mwandishi Wa Vyombo Vingine, Hapo Kipigo Na Kesi Juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Startimes mnatudhulumu wateja wenu wa 2012

    Startimes Ni Jipu La Shingo, Sijui Serikali Ina Hisa Ngapi Pale. Maana Tumepiga Kelele Mnoo, Kuhusu Kuibiwa Wateja Na Startimes Kwa Muda Mrefu Mnoo, Lkn Hakuna Hatua Ambazo Zinachukuliwa, Na Hata Ukilipia Channel Ambazo Watakiwa Uzipate Ktk Kifurushi Husika, Hauzipati Kabisa. Sent using Jamii...
  8. K

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Ajali yatokea, mabasi mawili na lori la mafuta yagongana

    Uzembe Wa Abiria, Kukaa Kimyaaa, Wkt Madereva Wakigeuza Mabasi Yao Ni Magari Ya Mashindano Ya Mbio. Tuzinduke Watanzania, Mwendokasi Ni Msiba.
  9. K

    JamiiForums Tanzania TCRA TATIZO NINI

    Tumelalamikia Kwa Mrefu Mno, Juu Ya Suala La Makampuni Ya Visimbuzi Kutuchaji Gharama Za Katazama Zile 5 Local Channel, Ambazo Tokea Awali Tuliambiwa Ni Za Bure,But Sasa Mwaka Na Nusu Tunalipishwa Tu Na TCRA Wako Kimyaaa. Tunaomba Kama Sera Ya TCRA Ya Kutolewa Matangazo Ya Hizo Channel 5 Za...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kipawa Dsm: Gari ya abiria yanusurika kulipuka kwenye kituo cha mafuta: Abiria washindana mbio

    Wahusika Watachukua Hatua Baada Ya Kutokea Maafa
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

    Tehe! Tehe! Tehe
  12. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba asimamisha utoaji wa pasipoti za jumla hadi itakapotangazwa tena

    Hata Zile Za Dharura Nazo Kuna Tatizo, Wahitaji Tunapigwa Pesa Mno, Zenyewe Ni Single Journey, Lkn Kila Trip Unaambiwa Ukaape Kwa Wakili, Na Ulipe Elfu 15 Na Passipot Elfu 10 ,Acha Passipot Size Na Photocopy
  13. K

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Rais hataki miaka 7 ila sisi tunataka, Bunge lifanye mabadiliko ya Katiba

    Ww Unataka Sio Sisi Tunataka
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamruhusu mwalimu Oluoch (Msabato) kutokushiriki usafi siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi

    Sasa Imekuwaje Hakuweka Jumuisho La Kanisa Lake La SDA ,Ikiwa Yeye Atakwenda Ibadani, Huku Waumini Wenzake Na Viongozi Wake Wako Ktk Kufanya Usafi, Atakuwa Anassli Peke Yake!!!????
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania

    Hbr Ya Asbh Wanajamvi, Leo Napenda Kupata Maelekezo Au Maelezo Kutoka Idara Ya Uhamiaji Tanzania, Swali Na Malalamiko Yangu, Ni Kuhusu Utoaji Wa Hati Za Dharura Za Kusafiria, Ambazo Watumiaji Wengi Ni Madereva Na Wasaidizi Wao, Kutoka Tanzania Kwenda Nchi Za Afrika Mashariki Na Kati, Awali...
Back
Top Bottom