AS Vita kuishitaki Simba kwa kupuliza sumu vyumbani

Itakuwa ile dawa ya mende almaarufu perfume ya Haji Manara.
Haina madhara zaidi ya harufu ya choo
 
picha wapige wenyewe vyumba vya kwao wenyewe afu izo acting mtu amelala wakati ni mda wakujiandaa na mechi no body is going to fall for that ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nimeshangaa kwamba mtu analala wakt wa kujiandaa kuingia uwanjani sijui hawakulala hotelini.
Afu wamesema vyumbn ndo kumepuliziwa afu cha ajabu wamekaa koridoni huku wamevaa mask

Mask zenyewe ni za madocta za kufanyia surgery. Sasa sijajua hizo mask zinazuia vipi hewa yenye sumu?
 
Back
Top Bottom