Recent content by krdilunga

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kumwambia mwanaume mwenzio "mambo?"

    Arif n gan
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kumwambia mwanaume mwenzio "mambo?"

    Mdau niaje
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

    My all time thread
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke siku zote huwa anaamini Mume ndiye atakayeanza kufa

    Sababu kubwa na ya msingi ni MAUMBILE Wanaume wanaoa ktk umri mkubwa wanawake wanaolew ktk umri mdogo hii inatokana na kuwa wanawake kazi yao n kutengeneza watot hvyo wanatakiwa waende kwa waume umri kati ya miak 16 - had 45 baada ya hapo wana relax na kupumzsha mwil, wakat wanaume wanatafuta...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Acha kutafuta ajira

    Mkuu umeweka content nzuri na ndio ukweli mchungu na ukweli una tabia ya kuuma kama dawa vile ilivyo chungu ...ila ugonjwa unaondoka
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana kwa Urusi

    Umetumia mfano rahisi sana kuelezea Big up to you
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amenipa sharti la kuacha kazi ya kuajiriwa ili anipe mtaji wa Tshs 200M nianze shughuli yangu mwenyewe lakini sijui nifanye shughuli gani!

    Hio ndio siri ya biashara mkuu inataka ujitoe 100% haitakiwi uwe na options, na huyo jamaa yako anajua vizur biashara ..kinachohitajika wew ni uchague ARE U YOU IN OR OUT biashara haihitaji mguu ndan mguu nje inakuhitaji muda wote hadi pale itakapotengemaa Ushauri wangu wekeza ktk field ambazo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la the Citizen: Ujio wa Corona ulipaisha uchumi wa Tanzania, ni baada ya hayati Magufuli kukataa lockdown

    Hakika Magufuli alikua mwanajeshi katika uwanja wa vita, kama binadamu hakosi kasoro na hakua mkamilifu ila alipigana jihadi ya kufa na kupona kwa kile alichokiamini kina manufaa kwa mama Tanzania. Alihakikisha anakufa kiume ktk uwanja wa mapigano bila kuhofia bila kuchoka. Ameacha legacy ambayo...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

    Jamaa anajua sana kweny sector yake big moves
  10. K

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Hio ni hofu tu ilikupata mkuu watu wameoa, bado wanapuchuka na mke anapelekewa moto kama kawaida
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nishaurini kati ya Dstv na Azamtv ninunue kisimbuzi gani?

    Sure, hapo ndipo jamaa alipaacha
  12. K

    JamiiForums Tanzania Story za mtaani kuhusu umafia wa madalali

    Madalali wanatoa huduma kwa mahitaji ya mteja anaweza akawa mwenye nyumba au mpangaji, mara nyingi kwa upande wa vyumba, wapangaji ndio huwatafuta madalali hvyo wanapaswa kulipia hudum a na hlo wanalijua. Ukija ktk zile nadharia simple za demand n supply hayo matamko ya kisiasa hayateklezeki.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye vivo Y11 yavunja rekodi ya simu zangu

    Mkuu nami hio simu nilikaa nayo mwaka mmoja nikampa wife akakaa nayo miaka mitatu ikaja kuzima tu hadi leo ipo home Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nyeti za siri zinapochafukwa

    Huu uzi kama umezaliwa karne ya 21 huwezi ona kitu humo Mkuu Mshana ni Lijendi kweny fasihi Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwema ni kilaza na asiye na mafanikio ya kielimu au kipesa?

    Kwa maisha ya Kitanzania muweka mada anajua ni anaweza kuwa na elimu na mali na mafanikio yote ila kama hatakua na mtu sahihi wa kutengeneza familia pamoja na watoto bado hajafikia ile maana ya mafanikio. Na hao watu sahihi mentality zao mwanamke akiwa na mali na elimu anakua tena sio sahihi wa...
Back
Top Bottom