Recent content by KPClassic

  1. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Makato ya mikopo yamekatwa mara mbili mwezi Feb hii imekaaje wakuu

    Mama Samia hoyeee! Jamani angalia, salary slip yako(wale wenye madeni ya benki, yaani wa mikopo wenzangu) Lile deni la mwezi Desemba toa deni la mwezi January niri, utaona umelipiwa mara 2, hata Kama una mikopo 2 na kuendelea,so utaisha mapeeema kabisa.👍👍👍 Kwa mfano deni la NMB, mwezi Dec ni...
  2. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

    Ndio wamelipa mkuu, xmas yangu ni njema sana, assume malimbikizo ya mwaka mzima,uyu mama kajua kunifurahisha
  3. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Amepata kazi Bunda mkoani Mara. Vipi wenyeji wa huko?

    Nipe namba yake PM, nmeanzia kaz pale na sasa niko bunda mjin baada ya halimashaur kugawanywa, nitampa mwongozo,na ad nmejenga huko
  4. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Tambiko la Kwamsisi kupisha barabara na fidia ya Tsh 21,000,000

    Elezea kidogo mzee mafingo ndi nn na sisi tujue
  5. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

    Baada ya kupitia hiz page 17 acha niamke niende library,kichwa imewaka moto asee
  6. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wahenga

    Unatuweka sana mzee duuuh
  7. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wahenga

    Poa poa jitahd ata ziwe post 4 au tano mzee baba per day
  8. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata internet unlimited, kulipia kwa mwezi

    Akikujibu nistue n mm mkuu nahitaj
  9. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wahenga

    Endelea ndugu
  10. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Tkuna hii kitu nmekutana nayo iringa ni balaa
  11. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wahindi na hizi biashara

    Huu uzi ntajuja utolea ushuhuda kesho & kaa ukijua yake maduka ni ya kuzugia
  12. KPClassic

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Namtafuta baba yangu Charles Muyumbilwa

    Mungu akujalie uweze kufanikiwa kukutana na mzazi wako
  13. KPClassic

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ngozi mguuni

    Nasubir majibu pia
Back
Top Bottom