Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,242
- 1,996
Mbamumu bhanu...siga bhategereshaToga yandika , abhamula ahbachilega ATI chili bhalosi.
Mbamumu bhanu...siga bhategereshaToga yandika , abhamula ahbachilega ATI chili bhalosi.
Wanawake ni wajuaji hatari.Wajita ni wanafiki na wana roho mbaya, wana wanatabia ya kulishana sumu
Kwanini?Mwambie asiende
Ili ajuteKwanini?
Kapangiwa kada gan? Kuna wenyeji pale asiwe na wasiwasi.Duuuh jamani mdogo wangu nae kapangiwa huko huko kijiji kimoja eti ragata mpaka kidogo achanganyikiwe kutoka mlimba mpaka ragata mbona balaa.
habari bro,mdogo wako kapangiwa wilaya gani? na yupo kata gani? mimi nipo kanda hii kwa sasa,nimewahi kuishi huko kwenu maeneo ya chita...natumai unaongelea mlimba ya ifakaraDuuuh jamani mdogo wangu nae kapangiwa huko huko kijiji kimoja eti ragata mpaka kidogo achanganyikiwe kutoka mlimba mpaka ragata mbona balaa.
kwanini asiende?Mwambie asiende
Unamtisha kiongoziasisahau kubeba mapanga mawili na mkuki.
Wilaya ni bunda dc sio mwenyej saana wa huko ila nimeangalia kwenye mitandao ni kata ya suguti shule ya msingi TAGATA sijajua ipo kijiji gani kwa huko wenyeji akina impelle watatusaidia.habari bro,mdogo wako kapangiwa wilaya gani? na yupo kata gani? mimi nipo kanda hii kwa sasa,nimewahi kuishi huko kwenu maeneo ya chita...natumai unaongelea mlimba ya ifakara
Kapangiwa ualimu shule ya msingiKapangiwa kada gan? Kuna wenyeji pale asiwe na wasiwasi.
Wilaya ni bunda dc sio mwenyej saana wa huko ila nimeangalia kwenye mitandao ni kata ya suguti shule ya msingi TAGATA sijajua ipo kijiji gani kwa huko wenyeji akina impelle watatusaidia.
Yap ni mlimba ya kilombero (ifakara) vip mzee ulikuwa mjeda nini? Maana chita ndio maeneo yao.
Karibu sana ndugu tule kitoga na perege ndio msimu wake huu
Ahsante kwa mwanga kama ipo karibu na barabara kubwa bila shaka huduma muhimu kama zahanati, umeme n.k inawezekana ikapatikana kwa urahis ila hapo kwenye ushirikina mmmmh maana ndo adui wa maendeleoHiyo ni kata ya Kasuguti kijiji kinaitwa Ragata sio mbali kufika barabara ya rami ya kutoka Bunda mjini kwenda Kisorya mpk Ukerewe( hii barabara ni ya rami). Maeneo hayo mimi ni mwenyeji sana yaani kuanzia Bunda mjini, Tairo, Guta, Nyantare, Buzimbwe, Bulamba, Kasuguti unakunja hapo jirani na mwiseni kupitia Haruzare kwenda Ragata hapo atapakana na kijiji kingine kinaitwa Kabainja na atakuwa anaenda kijiji kinaitwa karukekere ina centre kubwa kidogo kwny gulio siku ya jumapili kwa ajili ya shopping, au achukue pikipiki kurudi mwiseni, kasuguti, nyamitwebili, mayolo( kwa Kangi Bomba), kasahunga, namibu alafu kibara( yalipo makao makuu ya wilaya ya bunda vijijini) barabara ni ya rami so akifika kasuguti magari ni mengi sana.
Awe mwangalifu tu, watu wa huko wanapenda ushirikina, ngono, disco vumbi na ugomvi. Kuna dogo mmoja wa mlimba aliajiriwa Bunda mjini miaka ya 2013, aliishonokea sana Mara, alinisumbua sana kidogo apoteze kazi. Ila amerudishwa kama utataka niwaungaishe ila huyo mwl sio mwaminifu siku hizi
Mimi ni afisa tabibu kaka,kwa sasa nipo huku Mara,nipo jirani kabisa na Bunda..Sio mtembeaji sana kwa kweli,lakini sio sehemu mbaya kwa wageni kama inavyojadiliwa huko mikoani,ugomvi upo lakini hakuna mtu atakayekuzingua bila chanzo,Bunda ni sehemu nzuri tu kuishi,kumechangamka sana barabara kubwa ya mwanza to musoma imepita hapo..Nina jamaa yangu yeye ni afisa tabibu huko huko Bunda sikumbuki kijiji gani. Karibu kama utahitaji usaidizi wowoteWilaya ni bunda dc sio mwenyej saana wa huko ila nimeangalia kwenye mitandao ni kata ya suguti shule ya msingi TAGATA sijajua ipo kijiji gani kwa huko wenyeji akina impelle watatusaidia.
Yap ni mlimba ya kilombero (ifakara) vip mzee ulikuwa mjeda nini? Maana chita ndio maeneo yao.
Karibu sana ndugu tule kitoga na perege ndio msimu wake huu
Aje aishi ndugu yangu maadam hana ubaya na mtu hakuna kitakachompata...mimi nimefika huku nilitishwa sana hata kuingia sebuleni kwa mtu kula chakula nilikuwa sifanyi,lakini nina miaka miwili sasa,naishi kwa Amani sijawahi kupigwa wala kufanyiwa jambo lolote baya,naishi vizuri na jamii yangu,nadhan pia ni vizuri kwa kipindi ambacho ni mgeni asizoee sana wazawa,aishi nao vizuri ila atafute marafiki wageni kwanza..watu wa huku wana makandokando yao,sio wote lakini.Ahsante kwa mwanga kama ipo karibu na barabara kubwa bila shaka huduma muhimu kama zahanati, umeme n.k inawezekana ikapatikana kwa urahis ila hapo kwenye ushirikina mmmmh maana ndo adui wa maendeleo
Duuuh jamani mdogo wangu nae kapangiwa huko huko kijiji kimoja eti ragata mpaka kidogo achanganyikiwe kutoka mlimba mpaka ragata mbona balaa.