20th of changes
Member
- Oct 2, 2021
- 7
- 7
Bado tuko sambar a
😯😯😯
😯😯😯
Ukumbuke kunitagTwende kazi....
Baadae sana wale viongozi wakaniita nijieleze huyo mchungaji alieko harare namfahamu kivipi,nikawaeleza kuwa ni rafiki yake babaangu japo yeye hanifahamu mpaka nikajieleze.
Kumbe kati yao mmoja wao alikuwa na safari ya kwenda harare hivyo wakaniambia hawana imani na mimi hivyo nitakaa nyuma kwenye pick up yake nikaona fresh na gari yenyewe imefunikwa kwa hiyo nikakubali,jamaa kanipeleka kwake tukala kisha safari inaanza ya km 400 na ushee.
Usiku saa mbili tunafika kwa huyo mchungaji maeneo karibu harare university,jamaa kagonga hodi mala anatoka kijana mmoja anatusalimu kisha anatukaribisha ndani.
Ndani tunamkuta mwenyeji baada ya salamu(kwa kiingereza) jamaa anamwelekeza mchungaji (hapo jamaa alikuwa na hofu kuwa huenda nikakataliwa)
Jamaa akamueleza kuwa huyu mtu kapatwa na changamoto ya viza lakini kakutaja wewe kama ndugu yako hebu msikilize,mzee kaniuliza kwa kimombo unatoka wapi?
Mimi:Tanzania
Mzee; hujambo
Mimi; sijambo shikamoo
Mzee: unatoka mkoa gani?
Mimi :mbeya
Mzee; unaitwa nani?
Mimi; lukaa (si jina halisi?
Mzee: babaako?
Nikamtaja yaani kufumba na kufumbua nilikumbatiwa na familia nzima yaani mama mtoto na baba kumbe mama alikuwa sehemu anasikia kila kitu na aliposikia jina baba alifurahi mno kwa kweli nikasahau shida zangu kwa muda.
Yule jamaa alienileta alifadhaika sana kwa jinsi nilivyopokelewa....
Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
Inaendelea mkuu bado saanaMbona imeishia katikati wakati bado tamu
Twende kazi....

Imeisha au?
Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
Inaendelea soonItaendelea au ndio uliishia hapo hapo kwa mchingaji ukafa?
hapo uliposema nikaita “Oyaa" nimeelewa jinsi inavyofeel mazee ilikuwa ni furaha iliyojeTuendelee.....
Naada ya yule jamaa kuondoka nikaeleza yaliyonikuta japo mchunhaji alitaka nirudi TANZANIA ilibidi niongope kuwa nina mwenyeji Botswana ananisubiri kwa shingo upande aliafanya proccess zote za mimi kupata viza kabla ya zile siku hazijaisha.
Hapo kumbuka jamaangu john tulivyoachana hatuna mawasiliano yoyote kumbe mwenzangu alifika katika mahangaiko alipata kibarua pia alipata mwenyeji. Sasa kumbe kila wanapokula alikuwa anaonekana hana furaha ilibidi waongee nae ndipo alipofunguka kuhusu mkasa mzima ma jinsi tulivyoachana kimajanga.
Ile familia walisikitika mno familia nzima wakaanza maombi na kufunga kwa ajili yangu japo hawanijui(kuna jambo la kujifunza hapo)
TURUDI KWANGU SASA
wasiwasi ulianza kujaa moyoni maana sasa naenda kupambana mwenyewe itakuwaje kisha najipa moyo nikiwa nawaza hivyo nilikuwa ubarozi wa botwana na mwenyeji wangu ndio tunakamilisha hatua za mwisho.
Mala anasogea kwangu jamaa mmoja mrefu mwembamba mweupe kashika fomu ya kuombea viza sasa kuna mahali ilimtatiza kujaza.
Kasogea kwangu kanisalimu kimombo nikamjibu kaniuliza hiki kipengere tunajaza vipi? Nikamwambia unaandika nchi unayotoka kainama naoa anajaza Tanzania.
Nikaita OYAAA kanijibu, ah nimepata kampan tukajawa na furaha wote nikajikuta nina nguvu na mori mpya ya kwenda SA,alipofika mwenyeji wangu kakuta tupo wawili wote tunaongea kiswahili mchungaji alifurahi ikabidi afanye utaratibu wa tiketi siku hiyo hiyo ili asubuhi tuanze safari.
Asubuhi inafika tupo ndani ya basi tena mpaka jioni tunafika boda mala paap afsa uhamiaji alienirudisha
Siku ya kwanza nakutana nae tena safari hii anataka show money na mimi sina ananiambia kama huna huruhusiwi kuingia Botswana,nikachanganyikiwa tena.......
Itaendelea...
Sent from my SM-J730G using JamiiForums mobile app
Yaani unahisi kama uko peponi vilehapo uliposema nikaita “Oyaa" nimeelewa jinsi inavyofeel mazee ilikuwa ni furaha iliyoje