MSAADA: Namtafuta baba yangu Charles Muyumbilwa

Hapa hakuna picha yoyote inayohitajika. MLA PANYA SWANGA kwa nini hatua ya kwanza isiwe ni kwenda huko Maduma kuulizia? Au walishakwenda? Pia jaribuni kutumia redio na hizi online TV. Sidhani kama itachukuwa muda kumpata.
Ni ushauri mzuri ila shida ni kwamba process zote hizo zinahitaji gharama ambazo huyu mtoto hana.
Lakini kaja kuomba msaada kwangu kwa kuwa jirani yake aliwahi kuja kwangu kuomba msaada kama huu na mwaka jana aliweza kuonana na baba yake mzazi nami nilipata connection hiyo kupitia jukwaa hili hili.

Kwa kuwa mwezake alifanikiwa amempa njia hiyo nami nimerudi kwa mara nyingine kuwaomba tena tusichoke.
 
Mkuu ila hii njia uliyotumia ni sahihi kweli labda ungesema unamtafuta fulani kwa jina alafu mkikutana ndio muweze kuambiana angalia usije kuvunja familia nyingine au huyo baba yako siku ukimuona ukute ameungua uso kwa kumwagiwa uji wa moto na mwenza wake kwa hasira...

Anyway all the Best....
 
Mama wa huyu binti alishaolewa kwingine na pia huyu binti kiuchumi ni ngumu kufanikisha hilo.
Pole yake sana, sasa wewe jichange huko, halafu apate maelezo vizuri, wa mama wengine wakiolewa na waume wengine husahau kabisa watoto waliowapata kabla
 
Huyu binti kalelewa na baba wa kambo lakini kama ujuavyo malezi hayafanani na hata sasa shughuli afanyazo anapata tu hela ndogo ambayo haiwezi kutosha kufanya utalii wa kumtafuta baba yake.
Ana imani akimpata baba basi atapata baraka stahili.

Hatua ya:-
1 Nenda NIDA mtafute mtu muelewa atafute jina la huyo baba kwa mtandao wao.
2 Tafuta namba ya kituo cha Polisi Muheza aulizie jina la kaka yake(kaka polisi)
3 Watafute namba ya serikali ya mtaa ya muheza wamtaje bibi wa baba(mama wa baba yako) halafu waombe namba ya huyo bibi.
4 Afunge safari mpaka Muheza,Tanga atafute nyumba ya bibi mzalia baba.
5 Shule aliosoma baba yako Dar wasiliana nao mtaje jina la baba yako kamili na mwaka aliosoma hapo. Waulize kama kuna mawasiliano/rafiki yeyote wa Mzee wanae mjua.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Kwanza nitoe shukrani kwa member wote wa jf kwani kupitia uwanja huu wengi wamerudisha tabasamu baada ya kuonana na wapendwa wao.

Kama kichwa cha habari kilivyo ni kwamba.
Mimi UMBO CHARLES MUYUMBILWA(ke 26age) ninayeishi mbeya uyole ninamtafuta baba yangu ambaye kwa taarifa za mama ni kuwa waliishi Tanga muheza kijiji cha Maduma kwa kaka wa baba ambaye alikuwa askari.

Baba aliondoka kwenda masomoni dar mwaka 1994 akamuacha mama kwa bibi mzaa baba aliyejulikana kwa jina la SEKIDUMBA kijijini hapo MADUMA huko Tanga. Baba alimwacha mama akiwa na ujauzito wangu hapo kwa bibi.

Baada ya miezi kadhaa mama alijifungua mimi January 1995 na miezi michache mama aliondoka akarudi kwao mbeya usangu mlangali kijiji cha Kutulo na kuendelea kuishi huko hadi sasa.

Nimesoma huku mbeya nikilelewa na Mama yangu aitwaye Mariam Mjagala.

Inasemekana baba aliwahi kuja mbeya kumtafuta mama ila aliishia mjini hakujua vijiji ambavyo tupo hivyo hakufanikiwa.

Naomba kwenu watanzania wenzangu mnisaidie kumuona na kumjua baba yangu hata kama alikufa basi nijue ndg zake na alipozikwa na kama ni mzima basi anione mwanaye nami nimuone.

Mawasiliano 0747 525 891 UMBO CHARLES MUYUMBILWA.
Muyumbilwa ni watu wa Njombe huku..
Je una fununu mzee alikuwa anafanya kazi gani..??? Na aliitwa nani..maana nina muyumbilwa hapa nimtumie hii...
 
Ungeweka na picha kuna kubadilisha majina mkuu
Hivi kwa maelezo yake picha ya Baba yake, anaipataje.

Mimi namshauri kama anajiweza aende Tanga, kwenye hicho kijiji kama huyo Baba ni mzawa wa eneo hilo, anaeza kupata mwanga Baba yake alipo.
 
Muyumbilwa ni watu wa Njombe huku..
Je una fununu mzee alikuwa anafanya kazi gani..??? Na aliitwa nani..maana nina muyumbilwa hapa nimtumie hii...
Ni kweli huyu binti kasema babu yao alihamia tanga na bibi na baba zao wakulia huko hivyo upo sahihi huyo mtu aweza kutusaidia waje waonane na mtoto wao.
 
Muyumbilwa ni watu wa Njombe huku..
Je una fununu mzee alikuwa anafanya kazi gani..??? Na aliitwa nani..maana nina muyumbilwa hapa nimtumie hii...
Hajui kazi ya babu ilikuwa ipi na mama alikaa na mamkwe wake muda mfupi akaambiwa na wapambe kuwa mtu akikuacha ukweni kaenda masomoni kukuoa sahau ikabidi arudi kwao mbeya na huyu mwanae.
 
Hatua ya:-
1 Nenda NIDA mtafute mtu muelewa atafute jina la huyo baba kwa mtandao wao.
2 Tafuta namba ya kituo cha Polisi Muheza aulizie jina la kaka yake(kaka polisi)
3 Watafute namba ya serikali ya mtaa ya muheza wamtaje bibi wa baba(mama wa baba yako) halafu waombe namba ya huyo bibi.
4 Afunge safari mpaka Muheza,Tanga atafute nyumba ya bibi mzalia baba.
5 Shule aliosoma baba yako Dar wasiliana nao mtaje jina la baba yako kamili na mwaka aliosoma hapo. Waulize kama kuna mawasiliano/rafiki yeyote wa Mzee wanae mjua.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Huu ndio ushauri mzuri wa kuufata, Kikubwa atafute namba za kituo cha poisi Maduma au namba ya M/kiti, au Mtendaji wa kata, then hao watakusaidia kukupa namba ya mjumbe wa Kijiji/mtaa husika na hao lazima watakusaidia kupata information kamili za hiyo familia, jaribu hata ku google namba za hizo mamlaka unaweza ukapata.
 
baba yangu ambaye kwa taarifa za mama ni kuwa waliishi Tanga muheza kijiji cha Maduma kwa kaka wa baba ambaye alikuwa askari.
Ufunguo ni huu. Anzia hapa. Mwaka unao....1994/95. Tafuta alikuwa askari gani (polisi, magereza, JKT etc.). Ukimpata huyu kakaake, itakuwa rahisi kumpata mdogo wake.
 
Kwanza nitoe shukrani kwa member wote wa JF kwani kupitia uwanja huu wengi wamerudisha tabasamu baada ya kuonana na wapendwa wao.

Kama kichwa cha habari kilivyo ni kwamba.
Mimi UMBO CHARLES MUYUMBILWA(ke 26age) ninayeishi Mbeya Uyole ninamtafuta baba yangu ambaye kwa taarifa za mama ni kuwa waliishi Tanga muheza kijiji cha Maduma kwa kaka wa baba ambaye alikuwa askari.

Baba aliondoka kwenda masomoni dar mwaka 1994 akamuacha mama kwa bibi mzaa baba aliyejulikana kwa jina la SEKIDUMBA kijijini hapo MADUMA huko Tanga. Baba alimwacha mama akiwa na ujauzito wangu hapo kwa bibi.

Baada ya miezi kadhaa mama alijifungua mimi January 1995 na miezi michache mama aliondoka akarudi kwao Mbeya Usangu Mlangali kijiji cha Kutulo na kuendelea kuishi huko hadi sasa.

Nimesoma huku Mbeya nikilelewa na Mama yangu aitwaye Mariam Mjagala.

Inasemekana baba aliwahi kuja Mbeya kumtafuta mama ila aliishia mjini hakujua vijiji ambavyo tupo hivyo hakufanikiwa.

Naomba kwenu watanzania wenzangu mnisaidie kumuona na kumjua baba yangu hata kama alikufa basi nijue ndg zake na alipozikwa na kama ni mzima basi anione mwanaye nami nimuone.

Mawasiliano 0747 525 891 UMBO CHARLES MUYUMBILWAN
 
Ndugu zako wapo Ilembula Njombe dembele huko utawakuta
 
Huyu binti kalelewa na baba wa kambo lakini kama ujuavyo malezi hayafanani na hata sasa shughuli afanyazo anapata tu hela ndogo ambayo haiwezi kutosha kufanya utalii wa kumtafuta baba yake.
Ana imani akimpata baba basi atapata baraka stahili.
Only in tanzania. Tatizo la wanawake wanaishi kihisia zaidi kuliko kifikra. Kiumbe asiye na muda na mimi mi ntakuwa sina muda nayeye mala kumi zaidi ya yeye. Ila bahati mbaya ashaanza kuamini kuwa akimwona baba atafunguliwa zaidi.
 
Back
Top Bottom