Recent content by KOTINA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni jinsi ya kutengeneza tui la nazi bila kutumia kibao cha nazi(mbuzi)

    Ikate vipande vidogo kisha weka kwenye blender weka na maji kidogo,
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Thanx Numbisa. Angie nilijua ana roho ngumu ataeza vumilia maskin. Scene ya jana ametia huruma natumaini hatakufa:(:(
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kuendeshesha gari peku?

    Mimi pia nilikua siez kuendesha na viatu, kuna siku nikajarbu kuvaa raba nikaendesha though i was uncomfrtble lakin baada ya muda nilizoea, siku hizi siwez endesha peku kabsa tena niki feel vile vimchanga vya carpet vinanikera kweli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

    Napenda viatu, especially a good pair of heels.
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Asante Numbisa, Gabriel ana hatari anapenda kujiweka kwenye mambo ya watu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

    Sio sahihi kwa kweli wanaboa sana
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Asante sana Numbisa, Jana Linc ametia huruma kwei yani mwenyewe tu, ila Nikiwe kama anajutia.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi na mnaotumia mafuta ya castor oil

    Ya nazi yawe mengi, ratio ya 1:2
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi na mnaotumia mafuta ya castor oil

    Sijawahi kuyatumia peke yake ila ukiyachanganya na nazi yanajaza na kurefusha nywele. Meusi ndo mazur zaid
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu

    Ingia youtube kuna tutorial za kutosha, na practice sana hata ukiwa ndani unafanya shughuli zako. vizuri uanze na zie kitten heels au chunky heels ili upate balance afu ndio unaenda unaongeza urefu taratibu.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Lerato atakua dissapointed sana coz anataka zuki apate wenye pesa.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Asante Numbisa:)
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushasikia hii: Mayonnaise wanasema ni ubongo wa wazungu

    Inafanya kachumbari inakua tasty sana, kwa tuliosoma boarding tulikua tunaweka mpaka kwenye ugali maharage.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushasikia hii: Mayonnaise wanasema ni ubongo wa wazungu

    Hivo hivo mkuu
Back
Top Bottom