NIJUZENI JINSI YA KUTENGENEZA TUI LA NAZI BILA KUTUMIA KIBAO CHA NAZI(MBUZI)

salaniatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,607
Points
2,000

salaniatz

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,607 2,000
NIMECHOKA KULISHWA NAZI NA BAKHRESA ZA KIWANDANI....NATAKA NAZI ORIGINAL TOKA SHAMBA MNAZINI....TATIZO LIPO KTK UKUNAJI WA IYO NAZI ILI KUPATA TUI....VP NAWEZA KUTUMIA UTAALAM NA KIFAA GANI ILIKUPATA TUI LA NAZI...NIJUZE KIFAA TOFAUT NA ITO MBUZI NIPO KIDIGITAL ZAIDI NATAKA UMEME NDIO UFANYE IYO KAZI
 

Forum statistics

Threads 1,379,054
Members 525,304
Posts 33,733,404
Top