Recent content by Korozoni

  1. Korozoni

    Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

    Wanitafute mimi niwasaidie,kama kuna msanii hapa aje tuweke mipango,tukaigize Movies za action huko Udzungwa mountains!movie kali kali kama za Rambo!
  2. Korozoni

    NORTH KOREA'S STAUNCH RESPONSE TO THE UNITED STATES' THREATS

    "The time of dictating orders by brandishing the US military might has gone". "If those businessmen in power in the US thought of intimidating us by any military or sanction threats - as the [Barack] Obama administration used to do and failed - they will soon find out such threats are useless."...
  3. Korozoni

    Unayependa kuniandika kitabu cha wageni guest house ukiwa na kimada uache

    wewe ni KE kama profile inavyoonesha!? :D
  4. Korozoni

    Kuna athari zozote za kiafya zinazotokana na kula ndizi kwa wingi pamoja na kunywa maji mengi?

    Dah,halafu naona kama imekuwa addiction!Kila nionapo ndizi nashawishika kununua!
  5. Korozoni

    Kuna athari zozote za kiafya zinazotokana na kula ndizi kwa wingi pamoja na kunywa maji mengi?

    Habari za muda huu wakuu, Naomba kujulishwa kama kuna athari zozote za kula ndizi kwa wingi kwa siku na pia kama kuna athari zozote za kunywa maji mengi kwa siku. Mimi nina kawaida ya kula ndizi kumi(10) kwa siku na pia kila asubuhi huwa nakunywa maji lita moja,mchana lita mbili,Jioni lita...
  6. Korozoni

    Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

    :D :D :D :D huwa unanisuuza mtima wangu sana,unatikisika kama maini kwenye mfuko wa rambo :D :D
  7. Korozoni

    BETTING: Fursa sahihi kwa watu makini

    Ayaah!Barca kanichania mikeka leo,hakuna GG,Over wala Home win!
  8. Korozoni

    Nimegundua kitu humu jf

    noma sana!
Back
Top Bottom