NORTH KOREA'S STAUNCH RESPONSE TO THE UNITED STATES' THREATS

Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
264
105
"The time of dictating orders by
brandishing the US military might has
gone".
"If those businessmen in power in the US
thought of intimidating us by any military
or sanction threats - as the [Barack]
Obama administration used to do and
failed - they will soon find out such
threats are useless."
-Sin hong-Chol
North Korea's Deputy foreign minister.
 
Marekani ana haha kutafuta wafuasi wa kumsaidia kumpiga mapanki, mapanki anajiamini sana, that's manhood stunts go north Korea go!!
 
Marekan aliipiga urusi na kuosambaratisha icho ki korea kaskazin n ki nn kwa marekani
 
Sio kuwa USA hawezi kuipiga NK ila wasi wasi ni kuwa kichaa mapanki atavurumusha silaha zote bila kufuata sheria za vita. Miali ya nyuklia itasambaa hata kwa wasiohusika, ndipo hapo WWIII itaibuka. Ok hapo hofu ya USA ni kuwa mwisho ya hiyo vita bado atabakia supa pawa!? Maana hakuna kitu USA anaogopa kupoteza kama usupa pawa.
 
It's obvious that you have nothing to comment. Have a full research and reply to my comments.
 
NGOJA NISUBIRIE
 

Attachments

  • MrW5mUX.gif
    MrW5mUX.gif
    382.9 KB · Views: 30
Marekan aliipiga urusi na kuosambaratisha icho ki korea kaskazin n ki nn kwa marekani
Unaweza ukatuambia hiyo vita iliigabiwa wapi ba ni mwaka gani...? Maana ibaonekana kuna taarifa dunia nzima zipo kwako tu mkuu
 
Back
Top Bottom