Barabara ya Kigamboni kuanzia feri mpaka kongowe haina vibao ya speed limit hivyo polisi wanaonekana kama wanaonea madereva .. haiwezekani kuanzia feri mpaka kongowe utembe 50km/hr huu ni upotezaji wa muda na kutofikiria madhara ya kiuchumi. Manager TANROADS kama kama hujanielewa tembelea...
Ukimaliza diploma unatakiwa miezi 6 full time melini ufanye oral exams ndio upate licence kama junior officer.Kuwa senior mpk Capt utatakiwa urudi melini miezi 30 ta darasani miezi 12.
Kazi zipo sana kama hufikirii kufanya ndani ya EAC. Uarabuni na kwingineko duniani soko bado lipo sana kama...
Wafanyakazi hawa wamekuwa miungu watu,maana hata safari zilizolipiwa kila kitu na wafadhili bado wanasumbua sana.
kibali kinatoka mpaka saa chache kabla ya safari wakati wanadai ufanye application kabla ya wiki mbili, Waliowahi kuomba vibali hivi nini experience yako kwenye zoezi hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.