Wanaume mliohamishiwa Dodoma mmetuachia wake zenu makazini wanatusumbua sana

kweli kabisa kuna bimkubwa jirani yangu zamani alikua hanipi lifti ila tokea mme wake ahamie dodoma ameamua kuchukua na namba yangu asubuhi akiamka ananipigia kabisa eti nijiandae na humo kwenye gari hiyo mikao anapandisha sketi juu anaongea ufuska tu mara akicheka anataka tugonge nikizubaa ananishika ana joto la hatari nahisi ibirisi karibu atanizidi nguvu!
hata wewe mkuu ni mzembe kwa kiwango cha lami....
 
...Mkuu kumbuka mke wa mtu ni sumu kali kuliko ya nyoka...na pia duniani hakuna siri, so we jaribu kuparamia mali za watu then utakuja na mrejesho hapa ni kwa nini kanga hana manyoya shingoni! hah hah hah...Mapenzi ubatili!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ni wamama wawili sasa nmeona wamebadilika sana hapa kazini. Kila mtu kwa nafasi yake analalamika kuwa sasa ana hard time mahitaj ya kimwili hapati na mumewe yupo dodoma.

Ushawishi wao ni mkubwa. Huyu mmoja amefikia hatua kbisa ananambia " leo am so horny yaani ukinigusa tu wazungu haoo" akija ofisin kwangu ananitega sana kila wakat anataka tuzungumzie hbr za nyanjo/sex.

Na jimama lingine nalo linanambia linekuwa likiniangalia sana na kuona nipo serious so linapenda sana tupeane kampan hasa kipind hiki ni mpweke mumewe kaenda dodoma. Ananambia anajua nimeoa na ndo maana anataka atulie nami.tukapime tuwe tunakamuana tu kishkaj.ye hata sh yangu moja.

Nashauri waume mliohamia dodoma chukueni wake zenu. Wanatusumbua sana huku makazini na mitaani. Na wao wanaamini nanyi dodoma mnafanya hivyo hivyo.
Watawachukuaje wakat hao akina mama KAZI ZAO ZIPO DAR?
 
Naweza kuamini usemalo,namkumbuka jamaa mmoja na mkewe tuliajiriwa ofisi moja na mimi nilikuwa namzimia sana huyo mama lakini haniwashii taa ya kijani nifunguke lakini baada ya uhamisho wa mumewe kwenda mkoani haikuchukua muda mama aliingia mazima na nikakamua kinoma,aisee hii dhambi naijutia.
Sana,dhambi ya Mke wa mtu bhana
 
Mwanamke malaya hata kama umeamka nae asubuhi,haimzuii kuendelea na ufsika sidhani km ka GF una 100% hakatafunwi eti kwasababu upo karibu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom