Recent content by korojani

  1. korojani

    Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

    Mkuu hizi mbwembwe na masharti ya kuwa na kazi and so on kwa wanawake ni umri kati ya 18 - 29. Huu muda ndio wanakuwaga na masharti kibao wako radhi hata kuwa vimada cha msingi ni pochi yako tu. Shughuli yao inaishaga wakiwa na 30 na kuendelea, hapo huwaga hawachaguagi wanajua jua limeshazama...
  2. korojani

    Marekani: Maandamano yaibuka Minneapolis baada ya Polisi kumpiga risasi raia mweusi

    Hivi maulidi kitenge alisharudi Tz kutoka huko? Maana wiki ya pili sasa naona mapicha yake akipost kwenye social media akiwa huko.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. korojani

    Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

    I know that but hebu tupunguze unafiki sisi wa tz 🇹🇿
  4. korojani

    Mbunge: SGR itajengwa kwa miaka 81

    Natamani JPM aamke angalau kwa saa moja ili awaone watu waliokuwa wakimshangilia na kumsifia, then aende uko alipo. Maisha bila ya unafiki hayaendi kabisa huku Africa.
  5. korojani

    Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)

    Hivi hawa wasomi wa kiafrika baada ya kumaliza kisoma, huwa wanaweka taaluma zao ndani ya briefcases na kufikiri kwa kutumia matumbo yao? Huyu muhongo alikuwa waziri wakati wa JK, na wakati wa scandal ya Escrow alituthibitishia kwamba yale mabilioni ya pesa hayakuwa ya Watanzania. Lakini tume...
  6. korojani

    Simba SC iko vizuri ila suala la kuchukua Klabu Bingwa Afrika akili na mwili vinakataa

    Naona umeshaanza kupiga ramli chonganishi.
  7. korojani

    Mwakalabela afungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka

    Hebu waangalie nyuso zao wala hazina furaha.. Viongozi wa Yanga ndio watu wanaongoza duniani kwa kutokuwa na furaha..
  8. korojani

    Mwakalabela afungiwa miaka mitano kutojihusisha na soka

    Daah huyu jamaa nae alikuwa anaropoka sana, alikuwa hata hajui anafanya nini? Badala ya kuiongoza yanga ifike pazuri lakini yeye ndio alikuwa tatizo pale yanga, kelele, figisu na majungu yeye ndo mpikaji pale jangwani.
  9. korojani

    Naomba kumfahamu Shamim Mwasha

    witnessj upo?
  10. korojani

    Naomba kumfahamu Shamim Mwasha

    Huyu jaji Elineza Luvanda mara ya kwanza kumuona ilikuwa miaka ya 2011-2013 wakati huko alikuwa ni hakimu mkuu wa mahaka ya wilaya Dodoma. Kuna jamaa yangu alikuwa anakesi ya wizi alinunua lori la cement ya wizi, sasa yule jamaa yangu akapata washauri wakamshauri aende akamhonge hakimu Luvanda...
  11. korojani

    Ubakaji sasa ni tatizo la Dunia

    Pia kumbuka hizo ni record ambazo zimerekodiwa polisi, madawati ya jinsia na sehemu nyinginezo. Lakini kuna watu ambao hawasemi kama walishapitia hayo aidha kwa kuona aibu au mengineyo. Kwahiyo record inaweza ikawa kubwa zaidi.
  12. korojani

    CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    Mbona siwaoni Azam fc?? Sasa yule msemaji wao Zaka za kazi aache kelele kwamba Simba na yanga zinabebwa. Mpira ni uwekezaji, wasajili wachezaji wa viwango vya juu. Hata huo uwanja wao CAF waliuondoa kwa namungo kuutumia. Sasa wajitathmini.
  13. korojani

    Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

    Ni suala la muda tu ndio wataelewa kwamba hawajapata wanachokitaka.
Back
Top Bottom