Recent content by Korofu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Naombeni anayejua wapi napata mbegu za ufuta DSM, au Morogoro
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kujifukuzisha kazi(absconding) iko vipi?

    Watanzania ndio shida yetu, Unatakiwa uombe ruhusa likizo au ya bila malipo na malipo. Kama ulipewa taarifa ukiwa kazini kuwa unauguliwa ulipaswa kuandika barua hata kama ni mistari miwili. Next time omba ruhusa hata kama atakata kwa likizo yako.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kujifukuzisha kazi(absconding) iko vipi?

    Ukiacha kazi mafao hayalipwi, ila ukiachishwa unalipwa, na mkataba ukiisha unalipwa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dar to Mtwara, mdogo wangu kafariki kwa basi gani?

    Inaweza isiwepo ajali jaribu kutulia siku hizi mtuakiibia simu mijizi/fund viatu inaanza kutuma sms eti ndugu yako yupo hospital tuma pesa asaidiwe wakati yamepiga simu yake.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na DHL

    Ni wezi tu hao, hata mimi nnimewahi letewa huo ujumbe sikuufatilia kwa sababu sishobokei bureee,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima ana cheo gani ndani ya CHADEMA mpaka kushiriki mchakato wa mgombea?

    Hutampa kura yako wewe chagua mafida nyinyiem sisi tunamchagua huyo fisadi mmoja
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya kikaangoni EATV

    Richardmond mitambo bado inakodishwa na ilifunguliwa na Obama japo bunge na serikali waliikataa. Escrow ndio mpango mzima maana waligawana pesa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    , Kuwa nyienyiem unahitaji kuwa na akili ya maiti
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu kuhusu Mchungaji Gwajima, Lowassa na anguko la CCM

    WARAKA WA KAKOBE KWA RAIS WAANZA KUTIMIA, fungua kiambatanisho hapa yaliyomo
  10. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

    BREAKING NEWS ndio mgombea ukawa kila mnaweka hapa Hahahahahaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mashujaa wangu kwa miaka minne mfululizo

    Unajiamini sana wewe, subiri waje wakuchukue, ahsante kwa kujitambulisha
  12. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa kuzungumza na wanahabari baada ya kumaliza kikao kizito na familia pamoja na marafiki zake

    Ni uongo, nimekaa kigali city hatuwezi kuwapita nimekaa 1year. Nimerudi mwezi wa tano. Kadanganye wengine
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wizi Mpya Vodacom M-pesa

    Masuala ya kiufundi jiongeze. Kama umeweka vocha data ikiwa on, halafu ukajirusha kifurushi, haitakubali kwa sababu imediately inakuwa vocha imepungua hivyo salio halitoshi kupata kifurushi. Hivyo nunua vocha weka ikiwa data ipo off then you will enjoy. Otherwise nunu zile simu za 20,000 kwenye...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wizi Mpya Vodacom M-pesa

    Tigo nao wanakata makato ya bima sijui ninini, bila ridhaa na maelekezo ya kutosha. Mitandao wote wezi tu labda airtel na zantel
  15. K

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Swali langu, majivu ya aina gani, na je ktk hayo majivu ni kwa kila kuni ??
Back
Top Bottom