Wizi Mpya Vodacom M-pesa

Wizi Mpya Vodacom M-pesa

Iko unachosema wala si kweli,,itakuwa laini yako hujaipandisha,,uenda mwisho WA muamala kwa laini yako kwa siku Ni milioni,,sasa kiasi unachotaka kutuma kinazidi muamala wako kwa siku,,mi sasaivi hapa nimemtumia mtu milioni mbili Na imeenda Na kwenye simu imebakia M.2.5...voda Ni mtandao bora Na salama kwa hp tz,,,aswa kwetu sisi wafanyabiashara wa Kati.

ha ha ha acha nicheke tu
ila kama hizo sio tambo basi unaumizwa bila kujua

voda ni WAHUNI
 
.. vodacom wanajifanya vichwa vigumu lawama zote wanazopewa humu jf lakini bado wanadindisha
 
Last edited by a moderator:
Siku ukishtaki tutakuchekaa. maana mi nimekua wakala wa voda miaka 5. hio ni netwek ambayo huwez mshtaki mtu. wiz ni kuambiwa ilikua 500,000 sasa ni 300,000
 
wizi upo ila sio huo. ukizid kiwango wanasema ikiwa ivyo kuna namba za huduma kwa wateja 24hrs uliza watajieleza kabla hujawaza polisi. piga 100 au 15366
 
Iko unachosema wala si kweli,,itakuwa laini yako hujaipandisha,,uenda mwisho WA muamala kwa laini yako kwa siku Ni milioni,,sasa kiasi unachotaka kutuma kinazidi muamala wako kwa siku,,mi sasaivi hapa nimemtumia mtu milioni mbili Na imeenda Na kwenye simu imebakia M.2.5...voda Ni mtandao bora Na salama kwa hp tz,,,aswa kwetu sisi wafanyabiashara wa Kati.

Umetumwa na voda eeeh!!!
 
Jamani voda ni noma balaa. Nafikir kuna watu wananufaika sana hela zetu. Cku hizi hata ukinunua vocha ukichelewa kuunga imekula kwako huikuti. Kununua luku ndo balaa wanachelewesha respond ya msg hadi uwatwangie. Kweli wanastajili kushtakiwa.
 
Wanataka uombe kule customer care ili ukitoa 100000/= wao wajilambie hiyo 400000/= iliyobaki kiulainiii. Jamani Tz tumepigika hata hatusikii uchungu tena.

Bado wana issue za kujibu kuhusu ile vocha ya buku 2,
Sasa m pesa tuisusie kabisa wakipata hasara watarudi humu kuomba msamaha.
 
Jamani voda ni noma balaa. Nafikir kuna watu wananufaika sana hela zetu. Cku hizi hata ukinunua vocha ukichelewa kuunga imekula kwako huikuti. Kununua luku ndo balaa wanachelewesha respond ya msg hadi uwatwangie. Kweli wanastajili kushtakiwa.

Tigo nao wanakata makato ya bima sijui ninini, bila ridhaa na maelekezo ya kutosha. Mitandao wote wezi tu labda airtel na zantel
 
ni kweli wezi mie nilijiunga bundle la wiki ilitakiwa liishe jnne sasa tokea mei mosi mchana internet ikazingua kwa simu yangu ila kwa wengine iko poa nikajua simu yangu nikichek bundle lipo sasa leo nikajaribu kuweka vocha ya buku net ikarudi nikajua nina bundle langu kwa sekunde nachek salio zero wameiba ile buku nikajua ni ule uwizi wao kawaida ila una mwisho ina maana lile bundle nililojiunga last week wamelibatilisha.
 
.. vodacom wanajifanya vichwa vigumu lawama zote wanazopewa humu jf lakini bado wanadindisha

Nashanga bado watu wamengangana na voda . Mim nilitupa kule kuanzia January . Nipo huko airtel japo kiwango cha wizi kinatofautiana
 
Last edited by a moderator:
ni kweli wezi mie nilijiunga bundle la wiki ilitakiwa liishe jnne sasa tokea mei mosi mchana internet ikazingua kwa simu yangu ila kwa wengine iko poa nikajua simu yangu nikichek bundle lipo sasa leo nikajaribu kuweka vocha ya buku net ikarudi nikajua nina bundle langu kwa sekunde nachek salio zero wameiba ile buku nikajua ni ule uwizi wao kawaida ila una mwisho ina maana lile bundle nililojiunga last week wamelibatilisha.

Masuala ya kiufundi jiongeze. Kama umeweka vocha data ikiwa on, halafu ukajirusha kifurushi, haitakubali kwa sababu imediately inakuwa vocha imepungua hivyo salio halitoshi kupata kifurushi. Hivyo nunua vocha weka ikiwa data ipo off then you will enjoy. Otherwise nunu zile simu za 20,000 kwenye mafungu hutaibiwa salio
 
Sijawahi kifikiria kuweka hela m pesa bank siku moja wakanishauri waniunganishe acaunt yangu na m pesa mimi nilikataa nikawaambia nina amini bank ni salama zaidi kuliko m pesa kwanza m pesa gharama zao ni kubwa kuliko bank nikienda bank nikitoa 400000 wananikata 650 wakati huo m pesa ni kama 10000 huku ni kuleteana umaskini ukubwani.
 
Back
Top Bottom