Tanzania ILoveU
Member
- Apr 9, 2015
- 29
- 14
- Thread starter
- #21
viongozi wa cdm/ukawa watuongoze tu. Sisi tutawachagua bila kujali ni nani wametuletea maana tunawaamini basi.
hahaha maana hakuna namna
viongozi wa cdm/ukawa watuongoze tu. Sisi tutawachagua bila kujali ni nani wametuletea maana tunawaamini basi.
bado barua ya kakobeee
july 28
tanzania mpya inakuja!!!
july 27
mungu ni wa hatua kwa hatua na kila hatua unayopiga huimarishwa na bwana. Hakuna mtu awezaye kuzuia kile ambacho bwana amekusudia juu ya maisha yako!!! Amen.
july 22
pale ambapo watu wote wanahisi umeanguka, ndipo mungu anaanzia kutenda kazi.
Miaka kama 2 au 3, niliwahi udhuria ibada moja kwa kanisani kwa mchungaji Gwajima ufufuo na Uzima na alisema maneno haya kwamba "CCM wasipokuwa makini wanaweza anguka na kusambaratika 2015, na anaiona CCM ikianguka kwahiyo watu wasafi waliomo ndani waanze fanya maamuzi sahihi na kuwa upande sahihi hasa aliwaambia akina Mwakyembe na wengine" na akasema anaiona Tanzania Mpya na ya kijani inayong'ara baada ya uchaguzi mkuu 2015,
Kiukweli sikutilia maanani nikaona kama ni vitu visivyowezekana na haviwezi kutokea na nikaona mchungaji hapo umeongea vitu havitakaa vitokeee.
Lakini leo hii naanza kuona nikitu kinawezekena kabisa kutokea CCM kuanguka.
Kingine ni huu wakati wakutangaza nia, nilivyoona Mchungaji Gwajima ameudhuria mkutano wachadema na kusema anaiona CHADEMA na Slaa kama Joshua watanzania, wanatuvusha kwenda hatua nyingine. Na baada ya wiki nikamuona katika mkutano wa CCM anasema namuona Lowassa ni Joshua watanzania anatuvusha watanzania kwenda hatua nyingine, Kiukweli nilishangaa sana na watu wengi walishangaa sana na kuanza kumponda na kumuona kama mchungaji amechanganyikiwa.
Lakini Leo hii naanza kuona alikuwa anamaanisha nini katika hili, Maana LOWASSA yupo CHADEMA, Slaa yupo CHADEMA na wote watakuwepokati mapambano ya kuivusha Tanzania katika Hatua Mpya inayofata, na wote ni majoshua watakao shirikiana kutufikisha ile nchi ya ahadi.
Ushauri
Tuwemakini sana Hasa maneno yanapotoka kwa watumishi wa Mungu, Tbjoshua anasemaga kama kweli mtu ni mtumishi kweli wa Mungu sikuzote anaweza akaongea neno leo msielewe lakini baada ya Miaka kadhaa likitokea mtaelewa, na Mungu yupo anafanya kazi na Siku zote hutumia watumishi wake aliowachague kufikisha Ujumbe wake.
Hii strategy nashindwa kabisa kuielewa:-
(i) Chadema watangaza List of Shame (ile Orodha ya Aibu pale Mwembe yanga) na kuisimamia.
(ii) Dr. Slaa amtembelea Nabii Gwajima na kuwa na ibada ya pamoja na waumini wake huku wakiahidi full support kwa CDM
(iii) Nabii Gwajima adiwa kumkashifu Kadinali Pengo (kiongozi wa kiroho wa Dr. Slaa). Gwajima akana.
(iv) Nabii Gwajima akamatwa na Polisi kwa mahojiano; azimia wakati akihojiwa.
(v) Lowasa atangaza nia huko Arusha; Nabii Gwajima amuahidi full support tena asiyemtaka Lowasa akakamue malimao anywe.
(vi) Lowasa apata zaidi ya wadhamini 200,000; CCM yasema idadi sio hoja.
(vii) CCM yasema kanuni za chama hizo haziruhusu kukata rufaa kwa watakaoondolewa.
(viii) Lowasa "achinjiwa" mbali kwenye Kamati ya Maadili ambayo haina mamlaka hiyo; yeye abaki kimya.
(ix) UKAWA yachelewa kumtangaza mgombea wake; tetesi zaenea.
(x) Habari zaenea kwenye mitandao ya kijamii Lowasa kuonekana kwenye kikao cha dharura cha Kamati Kuu Chadema.
(xi) UKAWA waitisha waandishi wa habari; Lowasa "asamehewa" makosa yake.
(xii) Lowasa akabidhiwa kadi ya Chadema rasmi na kuwa mwanachama wa chama hicho na hivyo mshirika wa UKAWA.
(xiii) Dr. Slaa kimya; hatma yake bado kujulikana;
... nasubiria kwa hamu hili picha; sijui litaishaje hili.
slaa alishagombea akashindwa, mbowe aligombea akashindwa na mbowe akakubali kuachia ngazi ili slaa agombee, hivyo slaa pia anatakiwa awe na moyo kukubali kuachia ngazi wanachadema wengine wagombee, yeye atulie sasa asubirie uwaziri. lowasa akigombea urais ukawa anachukua hii nchi.Tunamtaka Dr slaa apeperushe bendera UKAWA sio lowasa.lowasa aongeze nguvu tu.
Miaka kama 2 au 3, niliwahi udhuria ibada moja kwa kanisani kwa mchungaji Gwajima ufufuo na Uzima na alisema maneno haya kwamba "CCM wasipokuwa makini wanaweza anguka na kusambaratika 2015, na anaiona CCM ikianguka kwahiyo watu wasafi waliomo ndani waanze fanya maamuzi sahihi na kuwa upande sahihi hasa aliwaambia akina Mwakyembe na wengine" na akasema anaiona Tanzania Mpya na ya kijani inayong'ara baada ya uchaguzi mkuu 2015,
Kiukweli sikutilia maanani nikaona kama ni vitu visivyowezekana na haviwezi kutokea na nikaona mchungaji hapo umeongea vitu havitakaa vitokeee.
Lakini leo hii naanza kuona nikitu kinawezekena kabisa kutokea CCM kuanguka.
Kingine ni huu wakati wakutangaza nia, nilivyoona Mchungaji Gwajima ameudhuria mkutano wachadema na kusema anaiona CHADEMA na Slaa kama Joshua watanzania, wanatuvusha kwenda hatua nyingine. Na baada ya wiki nikamuona katika mkutano wa CCM anasema namuona Lowassa ni Joshua watanzania anatuvusha watanzania kwenda hatua nyingine, Kiukweli nilishangaa sana na watu wengi walishangaa sana na kuanza kumponda na kumuona kama mchungaji amechanganyikiwa.
Lakini Leo hii naanza kuona alikuwa anamaanisha nini katika hili, Maana LOWASSA yupo CHADEMA, Slaa yupo CHADEMA na wote watakuwepokati mapambano ya kuivusha Tanzania katika Hatua Mpya inayofata, na wote ni majoshua watakao shirikiana kutufikisha ile nchi ya ahadi.
Ushauri
Tuwemakini sana Hasa maneno yanapotoka kwa watumishi wa Mungu, Tbjoshua anasemaga kama kweli mtu ni mtumishi kweli wa Mungu sikuzote anaweza akaongea neno leo msielewe lakini baada ya Miaka kadhaa likitokea mtaelewa, na Mungu yupo anafanya kazi na Siku zote hutumia watumishi wake aliowachague kufikisha Ujumbe wake.
mtakuja na hypotheses nyingi sana. lakini ukweli unabaki palepale kuwa jamaa alikatwaaaaaaaaaaa, na ikulu msahau. labda kama ni ya baba yako. sitanii hata kidogo katika hili.
wakuu mimi nashindwa kuelewa kabisa anachofanya lowassa
hiki kitendo cha kuongozana na gwajima, mtu ambae alimtukana vibaya kiongozi wa kanisa katoliki kardinali pengo kina maana gani?
Gwajima alimtukana pengo hadharani
gwajima alitudharau ambao hatukua tumejiunga na safari ya matumaini enzi hizo tukiwa chadema na lowassa ccm kwamba tukale malimao
mimi binafsi naona kua lowassa anakubaliana na yote anayosema na kuyafanya gwajima ndio maana anamtumia hata kumuombea
leo anamchukua gwajima, kesho atamchukua na kibwetere, yeye anabeba tu kila kitu kama kumbakumba
Wakuu mimi nashindwa kuelewa kabisa anachofanya Lowassa
Hiki kitendo cha kuongozana na Gwajima, mtu ambae alimtukana vibaya kiongozi wa kanisa Katoliki Kardinali Pengo kina maana gani?
Gwajima alimtukana Pengo hadharani
Gwajima alitudharau ambao hatukua tumejiunga na safari ya matumaini enzi hizo tukiwa chadema na Lowassa ccm kwamba tukale malimao
Mimi binafsi naona kua Lowassa anakubaliana na yote anayosema na kuyafanya Gwajima ndio maana anamtumia hata kumuombea
Leo anamchukua Gwajima, kesho atamchukua na kibwetere, yeye anabeba tu kila kitu kama kumbakumba