Recent content by Koriee

  1. K

    Wakuu naombeni mawazo yenu(ushauri)

    Joanah leo una jinsi gani? Nakazia msaliti si wa kusamehe.
  2. K

    Nimemliza mwanamke baada ya kumuuliza kama ameolewa

    Yanaweza kukuta ukakosa wa kuoa,au unadhani wanaume wote wasioa wameamua kuishi hivyo?
  3. K

    Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Ok pole kwa yote....ila ukipata mwanamke mwingine usirudie tena,michepuko inaharibu sana ndoa,wewe unaweza kuona ni kitu kidogo ila mwenzio hawazi hivyo....msamehe uwe na amani moyoni!
  4. K

    Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

    Nilikuwa na mawazo kama yako lakini sikutaka mapovu ya watu na mabishano...... Nikawaza ina maana nimeona mimi tu tofauti!? Mvunja ndoa ni mwanandoa,ndoa na iheshimiwe jamani....
  5. K

    Mbona bei ya chipsi yai haipungui licha ya mayai kushuka bei?

    Yaani sasa hivi vyote vimeshuka...si gas,mkaa wala viazi....ni ujanja ujanja tu kama madereva wa daladala,hata petrol ishuke hawashushi nauli.
  6. K

    Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

    Kweli wewe ndiyo ulifanya nijiunge rasmi Jf ,mada zako zilikuwa zinanivutia sana ila siyo zile za ndumba😀😀,nilikuwa wakusoma tu napita.... Hongera sana bro Mshana.
  7. K

    Naombeni ushauri nipo njia panda

    Kama anakupenda atakufuata mfunge ndoa . Usikatishwe tamaa na maneno ya waropokaji,upo sawa kwa uamuzi ulichukua mahari siyo ndoa,ndoa ni cheti.
  8. K

    Mapenzi ya kiatu na lami nayachukia sana. Kiatu ndicho kinaumia kila siku

    Nimecheka sana,halafu kaongea kwa hasira.
  9. K

    Nitaka tunda nitulie..Nitapewaje?

    Labda na yeye anaona unatumia pesa kumhadaa tu kimapenzi, tena na hivyo una gari,si unajua watu wenye pesa walivyo? Vumilia tu na yeye anakusoma bado,kama utasusa au la.
  10. K

    Ile ndoa imesambaratika!

    Yaani huyu ni shida,yeye anataka afanye umalaya tu asiambiwe,akiambiwa basi ni kushindana nae! Mke wake atapata tabu sana
  11. K

    Ile ndoa imesambaratika!

    Hapana ndugu majibu yangu nilikuwa na mjibu lizarazu alivyokuwa anasema na kuuliza,kama ni mada kaibadili lizarazu. Na pia wengi tu wameongelea hili suala kimaisha yetu ya kila siku zaidi.
  12. K

    Thamani ya mke wako katika maisha iko hivi

    Naamini wenye kuelewa watakuelewa! Ubarikiwe.
  13. K

    Ile ndoa imesambaratika!

    Afadhali wewe siyo wale wengine wanaosema, "mwanaume rijali hawezi kuwa na mwanamke mmoja" yaani wanajihalalisha kwa sifa za kipumbavu mwisho wa siku wanaacha watoto bila wazazi kwa magonjwa ya kuleteana.
Back
Top Bottom