MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
Unawajua mabaharia au unawaskia ?Upo serious au unataka ufukunyue usepe
Unawajua mabaharia au unawaskia ?Upo serious au unataka ufukunyue usepe
How do you know am not serious?Nipo serious dini yangu inaniruusu na naweza kumuoa.Eti am serious... mwone kwanza macho yake😡
inaoneKana Unayo ndoa ndio maana unajibu kwa nyodo,ungeikosa ndio ungejua kuwa ni ticket ya fiesta au ticket ya wasafi festivalsJaman Kwani ndoa ni tiketi ya kuiona mbingu au kuikosa ni tiketi ya jehanamu??
Jaman Kwani ndoa ni tiketi ya kuiona mbingu au kuikosa ni tiketi ya jehanamu??
I know you see the same vision[emoji23][emoji23]
Kuna siku nipo na mwamba mmoja , tukakutana na dada raia wa Sweden. Jamaa kwa hakuwa na cha kuongea akajikuta anamuuliza yule dada mara una miaka mingapi mara una boyfriend. Dada wa watu akamwambia nimejitolea maisha yangu kwa Yesu.Kumbukeni kuwa mtakuja kuwa na watoto wa kike nahisi mtaelewa. Pia maswali mengine ni personal in some ways
Huo muda ukifika ni upi ?Yaani iko hivi,haipendezi kwa mwanamke kuishi single wala mwanaume kuishi single,muda ukifika tafuta mwanamke au mwanaume wa hadhi yako na anza kuishi naye na muda ukifika mtafunga ndoa.
Nalog off
Miaka 25 kwa waafrika ni muda muwafaka wa kutafuta mwenza,sio lazima uoeHuo muda ukifika ni upi ?
Yaani iko hivi,haipendezi kwa mwanamke kuishi single wala mwanaume kuishi single,muda ukifika tafuta mwanamke au mwanaume wa hadhi yako na anza kuishi naye na muda ukifika mtafunga ndoa.
Nalog off
Wanawake Wakiwa Na Umri Wa Miaka 16 - 25 Huwa Wana Ndoto Kubwa Sana.Kumbukeni kuwa mtakuja kuwa na watoto wa kike nahisi mtaelewa. Pia maswali mengine ni personal in some ways
Ndio,mtajipanga kidogokidogo huku ukitafuta hela ya harusi.Uanze kuishi naye kabla ya kufunga ndoa..!!
Cheka sanaaa ila omba Mungu yasikukuteHuyo binti itakuwa kwao ni geti kali then alipokuwa 18 mpaka 28 kwao kwenye geti waliandika "MBWA MKALI" na sasa hivi yupo above 30... wameandika "TUNAUZA BARAFU"[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Wajuzi wa hili wameshanielewa![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Yanaweza kukuta ukakosa wa kuoa,au unadhani wanaume wote wasioa wameamua kuishi hivyo?Sasa mimi mwanaume yatanikuta vipi wakati mimi ndio muoaji?!