Recent content by Koplo prof

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Basi mwambieni aje tumsikilize atupatie sababu za kwanini aliasi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa nchi nyingine hili tu la Wabunge lilitosha Kuwafumbua macho Wananchi. Ni jambo la Hatari kubwa sana.

    Hili andiko ukilitafakari kwa umakini lina maudhui ya umaskini wa fikira, kipato, wivu na chuki tu dhidi ya watu Fulani.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha DA cha Afrika Kusini chaandaa maandamano nje ya ubalozi wa Tanzania kupinga unyanyapaa dhidi ya mashoga

    Waache waendelee na ufirauni, watakuja kukumbuka maonyo yetu siku wakiwa wanawaka moto wakiwa wamechelewa kutubu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tusitafute mchawi sababu za msingi za kupotea kwa 'dola' na fedha zingine za kigeni hizi hapa

    Mimi sijakuelewa kabisa. Sabotage? How?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tuchel na Cakir ndio wanaoijua Anfield, siyo Neymar

    Umebugi man
  6. K

    JamiiForums Tanzania Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

    Bado kitambo kidogo Mwana wa Adam atakuja akikomeshe kifo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu kwa hili umejichanganya

    Umekurupuka au hujamwelewa vizuri. Ummy hakusena watoto walipie dawa, amesema labda wanaweza kununua dawa kama haipo hospitality kwa sababu ni vigumu kwa dawa zote kupatikaba vituoni kwa 100%
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuachana na mambo ya dini ndio nagundua dini hupumbaza sana binadamu

    Mwanadamu hawezi kuishi bila kufanya ibada. Sema wewe umebadilisha wa kumwabudu tu na sio kwamba umeacha ibada. Ni lazima au imwabudu MUNGU muumbaji au mungu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge John Heche: Maisha yangu yapo hatarini kwa sababu ya sakata la Paspoti za Kielektroniki

    Unataka awe na degree ya nini ili imsaidie nini anachopungukiwa. Unahisi kila mtu anatakiwa kuwa na degree? Tueleze kwa nini unaona degree ni kitu muhimu? Rais jiwe ana degree ngapi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere umetuachia KATIBA ambayo kila Miaka 5 anapatikana Rais Anateua Kundi lake wanatafuna keki ya Taifa

    Nyerere hakuwa na maono, alikuwa dikteta uchwara pia, ndio maana aliandika katiba mpya mwaka 1977 akajirundikia madaraka yote katika jamhuri. Alijimilikisha madaraka ya kila uteuzi. Alipoondoka hakukumbuka kurekebisha mapungufu haya. Ona sasa anavyomtesa jiwe, kiongozi mteule wa malaika, miaka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Jebra Kambole: TLS siyo mali ya umma, haijawahi kuwa mali ya umma na haitakuwa mali ya umma

    Hii ndoto yako ni mbaya sana.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Jebra Kambole: TLS siyo mali ya umma, haijawahi kuwa mali ya umma na haitakuwa mali ya umma

    Hii ndoto yako ni mbaya sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zitto, Lukuvi wavutana Bungeni: Zitto adai 25% ya bomba la gesi inaweza kuzalisha umeme wote wa Stiegler's Gorge

    Kwani kipindi mnaweka bomba la gesi, stiglers haikuwepo? Au mlikuwa hamjafanya upembuzi yakinifu kujua which is the cheapest. Ukweli ni kuwa CCM haina master plan ya maendeleo ya nchi hii. Kila mkulu anaekuja lazima abuni miradi yake shagalabagala ili mradi atengeneze upenyo wa kupiga pesa. Huyu...
Back
Top Bottom