Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

انا لله و انا اليه راجعون

May Allah grant him eternal peace, amin.
 
Koffi na Mhe. Mwanadiplomasia Nguli Duniani JK Atakumbukwa kuiokoa Kenya kuingia kwenye vita kamili 2007-2018
 
Mbele yake Nyuma yetu.

Wakti tu ndio tunaopishana
 
1534634316611.jpeg

Mwana diplomasia mashuhuri kutoka Ghana, ambae aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa bwana Kofi Anaan amefariki dunia.
 
Tusisahau mauaji ya kimbali ya Rwanda ya mwaka 1994 yeye ndo alihusika kwa kiasi kikubwa na hakuwahi kuomba msamaha kwa hilo,
 
Back
Top Bottom