Waziri Ummy Mwalimu kwa hili umejichanganya

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3,063
Reaction score
2,991
unajitahidi kuongea kwa ukali japo ukweli ni kuwa ukali sio hulka yako. umejichanganya.
kwa mujibu wa sera ya afya ya Tanzania (2003) . watoto chini ya miaka 5 wanapaswa kutibiwa bure. hii ni kuanzia waingiapo hospital mpaka watokapo hili ulipaswa ulijue. kama hujui umepotoka . leo umewambia wananchi na watanzania kwa ujumla watoto wasilipie vipimo labda dawa ati kisa ni chache ni kupotoka na kudanganya umma .
kwanini walipie vipimo tu na sio dawa?
isome sera vizuri na ifuate, elekeza kwa mapana yake sio kudonyoa .
NI AIBU KWA WAZIRI KUTOJUA HATA SERA YA WIZARA YAKE. NI UKASUKU
 
Yawezekana alikuwa anawahi posho (brown envelope)
 
Watoto wake (kama anao) anauhakika wa kutibiwa nje ya nchi kwa udhamini wa serikali ya JPM
 
unajitahidi kuongea kwa ukali japo ukweli ni kuwa ukali sio hulka yako. umejichanganya.
kwa mujibu wa sera ya afya ya Tanzania (2003) . watoto chini ya miaka 5 wanapaswa kutibiwa bure. hii ni kuanzia waingiapo hospital mpaka watokapo hili ulipaswa ulijue. kama hujui umepotoka . leo umewambia wananchi na watanzania kwa ujumla watoto wasilipie vipimo labda dawa ati kisa ni chache ni kupotoka na kudanganya umma .
kwanini walipie vipimo tu na sio dawa?
isome sera vizuri na ifuate, elekeza kwa mapana yake sio kudonyoa .
NI AIBU KWA WAZIRI KUTOJUA HATA SERA YA WIZARA YAKE. NI UKASUKU
Kwani hao suala la sera wanalifuatilia?mfano yule kijana mwenye akili za kizee kila siku ni mtu wa kushinda polini utadhani askari wa maliasili!!kutafuta sifa tu kuna siku moja akiwa mbeya alitoa tamko kuwa katapila lililokutwa ndani ya msitu wakichimba madini litaifishwe!!akatoa maagizo kwa OCD,kuwa aweke ulinzi ocd akamjibu lile sio eneo lake la kiutawala kwani lipo ndani ya mkoa mwingine,akaenda kwa mkuu wa hifadhi ya misitu akamwambia kwa sheria zilizopo hawana mamlaka ya kutaifisha kitu hicho!!akawa mpoleeee!!!SASA Mfano huyo anayetembea na li ILANI LA CHAMA anajua kweli sera inayohusu wizara yake!!
 
Umekurupuka au hujamwelewa vizuri. Ummy hakusena watoto walipie dawa, amesema labda wanaweza kununua dawa kama haipo hospitality kwa sababu ni vigumu kwa dawa zote kupatikaba vituoni kwa 100%
 
Rais mwenyewe anaapa kuilinda katiba na utawala wa sheria, halafu anasema trafiki wapewe rushwa ya "hela ya brush",anasema atapiga shangazi za wapinzani, anasema wafungwa wapigwe mateke, unategemea Waziri atakuwaje na logical consistency?
 
Umekurupuka au hujamwelewa vizuri. Ummy hakusena watoto walipie dawa, amesema labda wanaweza kununua dawa kama haipo hospitality kwa sababu ni vigumu kwa dawa zote kupatikaba vituoni kwa 100%
isome sera vizuri mkuu . sera imetoa msamaha kwa vyote. kwann kusiwe na dawa wakati kuna maduka ya msd kila hospital? au umesahau sikuizi dawa haziibiwi tena?
 
Back
Top Bottom