Recent content by kongomboli

  1. kongomboli

    Rais Putin atembelea mji wa Donbass nchini Ukraine

    yan ushabiki wa Vita utasema mpira 😂😂😂
  2. kongomboli

    Maoni na Mtazamo wa Mwanasheria Alberto Msando kuhusiana na UKUTA

    Mtazamo wa Prof. Jay, Afande Sele na Solo Thang walisema sio lazma wote tuwe wanamuziki. Wengine twaweza kubaki kuwa mashabiki.
  3. kongomboli

    Shule 8 zafungwa Kagera kwa kukosa Chakula, Vipi vipaumbele vya Wanasiasa wetu?

    Bofya Link Hapa chini ujionee TAMBARARE HALISI: Tanzania yaikabidhi malawi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko
  4. kongomboli

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  5. kongomboli

    Itakuwa Vipi CCM ikishindwa uchaguzi 2015 au 2020 ?

    nchi itaingia vitani
  6. kongomboli

    Nape: CHADEMA ndio waliomtuma Lissu kumtukana Mwl.Nyerere

    Safari hii mtajuta kudandia hoja ya katiba wakati haikuwamo katika ilani yenu,ndomana ,mnatokwa povu na kujitia upofu mkidhani mtatuaminisha watz kuwa mwalimu katukanwa.Rekodi zipo sawa na mtajionea wenyewe matokeo ya kuikataa rasimu.Mnaleta hoja za uchochezi kuhusu pemba na unguja mkidhani...
  7. kongomboli

    Lissu na Jussa waining'iniza CCM kwenye kitanzi cha kisiasa!!??

    Wanalitumia jina la mwalimu kama hirizi yao kisiasa wakifikiri bado tupo miaka ya 90.Hata iweje chama tawala kisipojifunza kusema ukweli gharama yake itazidi kuwa kubwa kila uchao
  8. kongomboli

    Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

    Celina Kombani na Jaji Werema walisema mapema kabisa kwamba hatuhitaji katiba mpya,hamkusikia,oneni sasa kinachotokea!!!!
  9. kongomboli

    Serikali Tatu: Ni mfano wa kutoka nchi gani duniani?

    Hata mimi nimepata tabu sana kujua role model wetu wa serikali mbili,cjui ni nani dunia hii? Tusaidiane
  10. kongomboli

    Jinsi Voucher za Simu Zinavyo tengenezwa

    teh teh teh teh,kaaaazi kweli kweli
Back
Top Bottom