Recent content by koncho77

  1. koncho77

    JamiiForums Tanzania Mbosso anaimba Taarab sio Bongo Fleva, nashangaa sana mwanaume kuimba nyimbo za Mbosso

    Melody hapana, taarab ni mdundo na maneno
  2. koncho77

    JamiiForums Tanzania LULU aibukia Mhimbili, Homeboy yafika majuu

    nyie ni vinini hivi? mmevielewa?😂
  3. koncho77

    JamiiForums Tanzania Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    Huu ujumbe uwafikie akina dada, wachunge sana siku zao N.B Hivi unajua kuna wanawake wengine hawajui mzunguko wa siku zao za hatari
  4. koncho77

    JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mwenza ambaye wazazi wake ndio kipaumbele chake kuliko wewe

    Ukishakuwa mfuasi wa family first lazima utifuane na wazazi haswaa Mama zetu, sijui kwanini ipo hivi
  5. koncho77

    JamiiForums Tanzania Manara: Nilikuwa naroga watu waje Uwanjani

    Kuna tukunyema nyingine nyingi zipo bungeni, dah hii nchi imeoza
  6. koncho77

    JamiiForums Tanzania Misri imelipa fidia kwa familia ya Mwanaharakati Shaimaa al-Sabbagh aliyepigwa risasi baada ya Miaka 10

    Hakuna fidia kwenye uhai wa mwanadamu, perhaps they should clarify that this money is a condolence offering for the family
  7. koncho77

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Apologise in 72 Hours or Lose Your Post: Muhoozi to Nameere

    Therefore in Uganda, Muhoozi Kainerugaba effectively holds supreme authority now, given that President Yoweri Museveni has aged, to the extent that Kainerugaba is now in a position to threaten to strip an individual of their ministerial portfolio.
  8. koncho77

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Mungu, hapendi nini ?

    Dah mburura mmoja, so vile vibahasha huwa ni vya nini?
  9. koncho77

    JamiiForums Tanzania Kijana aliye Piga Base Guitar ya Wimbo wa Lango Nimemnyoshea Mikono

    Kile kizazi kilifunikwa na moto na bado waliyoyafanya hayafikii kwa kizazi hiki, hapa tunaweza kusema ni snake generation
  10. koncho77

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wazima hawako vulnerable?

    Umeongea pointi tena na mimi nahisi umenigusa maana huwa nakufa na matatizo yangu moyoni huwa siamini katika kuomba ushauri, Sema mfano wako kuhusu Samia sijapapenda kiujumla simpendi
  11. koncho77

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema muombe radhi Paul Makonda

    Kwani siku hizi kisheria ni makosa kutomsalimia mtu
  12. koncho77

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sifa ya kwanza ya Straika ni kuwa mchoyo ndio maana mwisho wa msimu Straika anapaswa awe na magoli mengi zaidi ya assist
  13. koncho77

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Rayo wamepata goli Madrid 3 v 1 Rayo
  14. koncho77

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mama yake na Arda Guler na Girlfriend wake Duru Nayman wapo Santiago Bernabeu kucheki mechi
  15. koncho77

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Bellingham amelingana magoli na Zidane ndani ya La liga, huku Zizzou akimzidi Jude mechi 63 zaidi Bellingham Goli 37 akiwa na mechi 92, Zidane Goli 37 kwa mechi 155
Back
Top Bottom