Recent content by Konaa

  1. K

    Mwalimu wa masomo ya ualimu (education) anatakiwa

    jamani acheni kutempa na feelings za watu humu janvini, watu wanahitaji kazi halafu mtu anaweka taarifa isiyoeleweka kama hii, mimi kama mdau wa elimu, kuna aina kadhaa za UALIMU, MF.FALSAFA, SAIKOLOJIA, SOSHOLOJIA, ZANA, N.K SASA NI IPI NAZO KUNA NGAZI TOFAUTI SASA UALIMU WA NGAZI IPI?
  2. K

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Madaktari wa kihindi na wahandisi wako na wanafanya vizuri, sio wababaishaji kama sie tulivyo, sijui ni kiburi cha kuwa tuko kwetu, Tuwajibike kuinua maishe yetu na kulinda tamaduni zetu kama wahindi na wahaya, mhaya atazaliwa dar lakini atajua kuongea kihaya kwa ufasaha kabisa
  3. K

    research amerika kuhusu wanandoa wanao pigana vs wasiopigana

    Anaeshabikia hizi tafiti za kizushi nae ni katili na mzushi, kipigo tangu lini kikaimarisha ndoa zaidi ya kuleta maradhi na visasi visivyoisha, hata uaadui wa kupindukia, so ndugu acha hizoooooooooooooooo
  4. K

    Barua za Kuomba Kazi

    Asante kwa maujuzi
  5. K

    Prof UDSM hoi kwa "kidhungu"

    Majita mzee alikunyakaa nini?amenifundisha miaka 13 iliyopita,yuko ngoma droo na marehemu aroub kwa weledi wake
  6. K

    IMARISHA NDOA YAKO EWE BABA KWA KUYATENDA HAYA(kwa upendo wa kweli)

    ZIFAHAMU SEHEMU KUU 8 ZENYE MSISIMKO KATIKA MWILI WA MWANAMKE: ZIFUATAZO NI SEHEMU KUU 8 ZENYE MSISIMKO KATIKA MWILI WA MWANAMKE: SEHEMU YA 1: NYWELE - sehemu ya kwanza yenye msisimko katika mwili wa mwanamke ni kwenye nywele, katika sehemu hii huleta msisimko kwa pande zote mbili kwa...
  7. K

    Kupenda sana Ngono kwanimaliza, Madokta nisaidieni

    Rafiki yako ana pepo la ngono,akafunguliwe,wako wengi wasioweza kupitisha siku bila hiyo,baadae atabaka hata mwanae then#§€
  8. K

    Lecturer part 3

    Haya mambo yako sana kwenye vyuo vyetu,wanaopata fist class na gentleman degrees baadhi yao wanakuwa subjected kwenye huu upuuzi ndio maana tuna kina mama wazuri na wabaya kwenye mfumo japo wamesoma
  9. K

    Huwa anatokwa na haja kubwa wakati wa mavituz part 2.

    Huo uwendawazimu wa ngono kinyume cha maumbile Ni Dhambi Za laana zitakuandama wewe na uzao wako hadi kizazi cha 4 cha machukizo wanajanvi,TUSIPENDE KUSHABIKIA HAYA,KWA KAWAIDA WANAOPRACTICE HII LAANA NI WAGONJWA WA AKILI NA WANAITAJI UKARABATI MKUBWA WA AKILI NA MAUMBILE YAO
  10. K

    Kila nnapokaribia kumwaga anachomoa na kuibana kisha ananidai vitu vya thamani!

    Huyo ni chuma uleta,MWOMBE MUUMBA WAKO YULE ALIEKUANDALIA,afu hiyo chovya chovya§#x¥x$z*
  11. K

    Warning:MARUFUKU KUNUNULIANA CHUPI MKIWA AMJAOANA

    Dunia kwishney,ndio maana ndoa zimepigwa kirusi cha machafuko yasiyoisha
  12. K

    How To Stop Your Man From Cheating

    Yote haya ni ukosefu wa hofu ya Mungu
Back
Top Bottom