Kwa jinsi ambavyo unalishughulikia jambo hili, inaonekana stori hii ni framed tu. Hadithi sasa ni kuhusu kuwekewa alama zako. It is high time uamue ama kufight au upewe alama zako ukae kimya. Sioni kama fighting spirit ipo hapo. Pili ukiachia yote, una ushahidi wa kutosha kuthibitisha huo ubakaji au attempt yake?? Kama vitu huwezi kushinda, kuna maana gani ya kuendelea kupigana?