Usidanganywe ndugu YaAni nilipokuja ona upuuzi kwenye tigo pesa mtu anatoa laki tano Kamisheni 2000[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si Bora pesa yg nikafuga nguruwe miezi sita tu nimeopoa pesa ya maana
Watu Kama nyinyi mnakera sana ,wote hatukupendi humu ,acha story iendeleee Kama kuuliza maswali utamuuliza mwisho wa story na ukitaka kuonana nae mbona lahisi tu juzi tu alikua Moro ,kwa hiyo hatupend utuvuruge humu
We jamaa unanikera wewe ,hujielewi kwani lazima huwe kwenye huu uzi au unatafuta kutukanwa sikupendi kabisa ningekua na majini ningekutupia Toka kwenye huu uzi ,wacha wenzio tupone
Kwa Sasa Mimi nitapigwa ban ,nitakula sahani moja na wakosoaji humu Kama huwezi kufatililia story utoke humu sio kumkwamisha magere asisimulie story wengi tunajifunza hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.