Kwa anayefahamu jina la movie hii naomba nipatie jina lake

komoakomesha

JF-Expert Member
May 4, 2020
285
397
Kuna siku nilikua kwenye gari la haya ya mkoani, iliwekwa move moja Kali sana nitahadithia hapa kwa alieiona na kuijua jina aniambie nikaitafute dukani, stori ya move inaanza ilikua familia moja ya baba mama na watoto mmoja wa kike Sasa huyo wa kike ndo mdogo ndo star wa move wanasafili Kama familia ghafla wanavamiwa na magaidi ya siraha za jadi wanauwawa familia nzima yule Dogo anaamua kukimbia nae anakamatwa anapelekwa kambini kwa.

Ni hatari mkuu wa hiko kikundu Ni mama mmoja mbaya hivi Tena Ni mchawi na mtaalam wa mishale ,anapofikishwa pale kambini ,anafungiwa kwenye chumba Fulani Sasa mtoto wa yule mama mchawi anamuonea huluma usiku anaenda kumfungua yule Dogo na wanatoroka wote hiko inakua kizaazaa wanasakwa wale madogo.

Kuna sehemu wanakutwa Sasa hio sememu wale madogo wataluka kwa bongo la ukingo wanaenda kudondokea mtoni YaAni kama acoryipto Ile sehemu jagwa anavuluka, ndivo alivoluka yule binti, baadae yule binti alichoka kukimbia akaamua kuua ,Ni noma Dogo anajua mitego anawaua vibaya na kuteketeza lile kundi. Msaada mwenye kujua hio move mnitajie hapa ili niidowlod
 
Kuna siku nilikua kwenye gari la haya ya mkoani ,uliwekwa move moja Kali sana nitahadithia hapa kwa alieiona na kuijua jina aniambie nikaitafute dukani ,stori ya move inaanza ilikua familia moja ya baba mama na watoto mmoja wa kike Sasa huyo wa kike ndo mdogo ndo star wa move wanasafili Kama familia ghafla wanavamiwa na magaidi ya siraha za jadi wanauwawa familia nzima yule Dogo anaamua kukimbia nae anakamatwa anapelekwa kambini kwao ,Ni hatari mkuu wa hiko kikundu Ni mama mmoja mbaya hivi Tena Ni mchawi na mtaalam wa mishale ,anapofikishwa pale kambini ,anafungiwa kwenye chumba Fulani Sasa mtoto wa yule mama mchawi anamuonea huluma usiku anaenda kumfungua yule Dogo na wanatoroka wote hiko inakua kizaazaa wanasakwa wale madogo ,Kuna sehemu wanakutwa Sasa hio sememu wale madogo wataluka kwa bongo la ukingo wanaenda kudondokea mtoni YaAni kama acoryipto Ile sehemu jagwa anavuluka ,ndivo alivoluka yule binti ,baadae yule binti alichoka kukimbia akaamua kuua ,Ni noma Dogo anajua mitego anawaua vibaya na kuteketeza lile kundi ,. Msaada mwenye kujua hio move mnitajie hapa ili niidowlod
Msaada jamani kwa anaeijua hii move mnisaidie
 
Kwa maelezo hayo Ni ngumu mtu kuelewa maana hujasema kama Ni bongo movie na je hakuna hata muhusika mmoja ambaye Ni star .sijui km utapata jibu
 
Mkuu taja ata muigizaji mmoja ambeye ameigiza muvi tofauti na io na yumo umo itakuwa rahisi kufind
 
Hebu hadithia kwa utulivu, unahadithia kama unatangaza mpira bwana.

Wewe anza kwa utulivu kuelezea mwanzo wa movie inavyoanza kisha taratibu toa details za namna dakika hata 20 za kwanza movie ilikuwa inaonyesha nini tupate picha......

Sasa unaanza oooh dogo sijui akaruka mara familia ikauwawa amar oooh mama mchawi akamchukua mara oooh wapo porini kachoka kukimbia akaanza kuwaua.... Akina nani sasa, sisi mbona hatuwaoni?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu hadithia kwa utulivu, unahadithia kama unatangaza mpira bwana.

Wewe anza kwa utulivu kuelezea mwanzo wa movie inavyoanza kisha taratibu toa details za namna dakika hata 20 za kwanza movie ilikuwa inaonyesha nini tupate picha......

Sasa unaanza oooh dogo sijui akaruka mara familia ikauwawa amar oooh mama mchawi akamchukua mara oooh wapo porini kachoka kukimbia akaanza kuwaua.... Akina nani sasa, sisi mbona hatuwaoni?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhhaaaa....
Mara acorypto,siraha,akaluka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom