Recent content by kokuemage

  1. K

    Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

    Sio utani ni kweli ni dharula, abiria wote wako wazima, kuna ndege Ingine imepata breakdown JRO kwenye run way kwa hio ikalazimu hio ndege kutua Arusha Airport. kwa ukubwa wake ikaharibu runway na kusababiha kuwa juu sana kwa hio wanasubiria ngazi kutoka Kilimanjaro Abiria washuke.
  2. K

    Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

    Niongezee tu kidogo lininge hawa waume wanasahau kuwa mwanamke anaitaji kupendwa na kuendelewa kusifiwa na kutambiwa kuwa yeye ndio yeye kama ilivokua mwanzo wa mahusioano. tatizo wakishakuweka ndani basi.. hakuna i love you any more, hakuna caring, una shida ukisema umshirikiseh mwenzio ndio...
  3. K

    Pem

    Kijana wangu anasomea masomo ya PEM: PHYSICS,ECONOMIS & MATHS. naomba ushauri itakapofikia kwenda Chuo ni masomo gani mazuri marketable akaspecilized? hasomii Tanznia yuku Uganda ila university nilitamani asomee Tanzania. naomba ushauri jamani tafadhali
  4. K

    Msaada wa mawazo na ushauri, please only serious people here

    Thanks Sita ila ni ngumu coz yeye anarudi mmeshalala kuamka mimi nimeajiriwa lazima saa 12 niwe macho kwa ajili ya kwenda kazini yeye ndio kwanza anakoroma anakusubiria ukishaondoka ndio aamke. mara chache sana tunawa wote nyumbani. nimeshaongea nae sana mpaka na marafiki zake wote wanasikitika...
  5. K

    Msaada wa mawazo na ushauri, please only serious people here

    hao watoto nawaleaga mimi mwenywe Neddy bila msaada wake kama anaondoka asbh na kurudi usiku anawalea saa ngapi. infact namshukuru Mungu watoto wangu wanaelewa kila kitu and i talk to them everyday. ni wasikivu sana kwa kweli. ni kweli mimi ndio nimelea hilo tatizo sio siri ila utajikaushaje...
  6. K

    Msaada wa mawazo na ushauri, please only serious people here

    Himidini nashukuru sana na wote mliochangia mada. ni kweli inaonekana nimelea mm hili tatizo ila ni sababu i wanted the best for our kids and our home. mimi ni mwanamke wa kihaya nisiokubali umaskini hata kdg ndani kwangu. napigana na kufanya kazi kwa bidii sana. nimeshawashilikiza wazazi wa...
  7. K

    Msaada wa mawazo na ushauri, please only serious people here

    hapana hio siwezi. hio hela nibora nisave for my kids education. kubadilika hawezi kama hajabadilia for the last 18yrs how can he change now?? the change comes from himself and if he doesnt see why he should change maybe that is the reason he is behaving that way. anyway thanks for your advise...
  8. K

    Msaada wa mawazo na ushauri, please only serious people here

    wapi huko jamani nami nimpeleke huyu wangu kwa delivernece? this is more than a burden to me now!!!!!
  9. K

    Msaada wa mawazo na ushauri, please only serious people here

    Mimi ni mwanamke nina miaka 37 sasa hivi,nimeolewa na nina watoto watatu miaka 17,13 & 6yrs.Nimeishi na mume wangu kwa miaka 18 sasa hivi,mume wangu ni maasai wa mjini sio wale wavaa lubega. Tatizo ni huyu baba nimembeba sana mpaka naona nimechoka na vile umri umeenda sijui nifanyeje. Sio...
  10. K

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    kati ya wafanyakazi ninaowakubali na ntazidi kuwakubali ni mh Lowassa, kwanza i wish i new come later and are words for fulls but the reality is, better him for presidence rather than Kiwete. the guy is hard working yuko smart and on top of everything. sio propaganda tu nope! anafanya kazi sasa...
  11. K

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    too much of something is dangerous! mwanamke anapokuwa mzuri sana mara nyingi mwanaume anamuogopa ndio maana wanaishia kuwa vimada na hata wanaowaweka vimada uwa ni watu wenye uwezo kweli. mara nyingi wanaumwe uwa waoga kwa wanawake wazuri sana. wasi wasi wa kuibiwa. nina rafiki yangu yuko hv hv...
  12. K

    kwa wanawake waliolewa

    mimi napenda anapowahi kuja home na tunakula wote dinner na familia na tunaenda wote kulala pamoja maana ile kuwhai tu nakuwa tayari kwa ajili yake na enjoy kuliko maelezo. Nachukia anapokuja amelewa tena night kali na anaongea anayohisi ww ya kukukera.
  13. K

    Lowassa toa kauli juu ya meli ya kinana iliyokamatwa huko Hong Kong

    Yaani EL ni much much much better than huyou amri jeshi mkuu wa nchi, mzembe na hasiyejua anachokifanya ni anakula na kuchukua chake mapema by 2015 achape mwendo. kumbe hata hz panoni shell zinazojengwa kila siku ni zake. EL ni mchapa kazi sana bora aibe ila kazi anafanya. the more you work hard...
  14. K

    Uchaguzi Mkuu Kenya: Ghasia zaanza Kisumu

    nawashangaa sana wa kenya na poleni mno. kumchagua Uhuru ni mmerudisha Kenya enzi zile za MOI na Kenyatta. nawambieni mtajuta. inarudia ile enzi za nyayo na sifa kede kede kwa rais. mapolisi wajiandae na salute masaa 24. wanafunzi mjiandae na nyimbo kede kede za kumsifia rais. yaani ni zile...
  15. K

    Wizi wa kutisha -JNIA

    jamani ni wezi sana! kama JRO swissport its more than worse, wageni wengi wanapitia JRO na mimi nafanya kazi kwenye kampuni ya utaliii. kila siku wageni wanalia. mpaka sasa hv tunawashauri Agents wawambie clients camera,lapotop na vitu vyote vya thamani wabebe mkononi. hawa watu wanalipwa vibaya...
Back
Top Bottom