Pem

K

kokuemage

Member
34
0
Kijana wangu anasomea masomo ya PEM: PHYSICS,ECONOMIS & MATHS. naomba ushauri itakapofikia kwenda Chuo ni masomo gani mazuri marketable akaspecilized? hasomii Tanznia yuku Uganda ila university nilitamani asomee Tanzania. naomba ushauri jamani tafadhali
 
jamiif

jamiif

JF-Expert Member
2,409
1,195
yeye mwenyewe huyo mtoto wako ambition yake ni nini?anataka kuwa ktk field gani? professional gani?
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom