Lowassa toa kauli juu ya meli ya kinana iliyokamatwa huko Hong Kong

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Mh.Lowasa,wewe kama mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mambo ya nje,unaombwa utoe maelezo kidogo juu ya meli ya Kinana.

Meli ya kinana ilikatwa huko Hong kong ikiwa imebeba nyara za serikali,na wewe kama mwenyekiti wa mambo hayo umekaa kimya.Hebu funguka basi,usibaki kazi yako kutoa michango tu makanisani huku ukiwa umesahau wajibu wako kabisa juu ya kamati yako. Ukimya wako huu unatupa mashaka.

Umekuwa mwepesi sana kuzunguka nchi nzima kutoa michango makanisani huku ukisahau wajibu wako.
Tunaomba mchanganuo wa tuhuma za kinana kuhusu ujangili.
 
Mh.Lowasa,wewe kama mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mambo ya nje,unaombwa utoe maelezo kidogo juu ya meli ya kinana.
Meli ya kinana ilikatwa huko Hong kong ikiwa imebeba nyara za serikali,na wewe kama mwenyekiti wa mambo hayo umekaa kimya.Hebu funguka basi,usibaki kazi yako kutoa michango tu makanisani huku ukiwa umesahau wajibu wako kabisa juu ya kamati yako. Ukimya wako huu unatupa mashaka.Umekuwa mwepesi sana kuzunguka nchi nzima kutoa michango makanisani huku ukisahau wajibu wako.
Tunaomba mchanganuo wa tuhuma za kinana kuhusu ujangili.
pamoja na kuwa na record nzuri za kushughulikia mambo magumu kwa haraka bila woga, ila hili haliwezi.
 
Hana uwezo,ni dhaifu.Ni opportunist tu.Amebakiza ujasiri wa kupitisha mikataba tata kama ya RICHMOND...

Mtu aliyesomea sana na maigizo pamoja na fassion design ana uhusiani gani kitaaluma na sera za mambo ya nje tofauti na cultural diplomacy?
 
mkuu Ben inawezekana hata yeye anahusika,unakumbuka alipokuwa waziri mkuu alikuwa anafire wakurugenzi kama nini waliokuwa wanatumia vibaya mali ya umma,lakini kwa hili la kinana kimya!! Kazi yake imekuwa kutoa michango makanisani.
Ukitaka kujua upuuzi wa EL ni huu analalamika tatizo la ajira hukua akitoa mamilioni ya harambee.Kwa nini hizo pesa asiwawezeshe vijana wajiajiri na vijana kama blocks/components za makanisa watachangia wenyewe hizo harambee.Na vijana mara nyingi ni watu wa kujisifu pale wanapoonekana kuwa na pesa,hii itakuwa kichocheo.Fisadi mkubwa na mnafiki wa ajabu hana jipya.
 
Lowasa na Kinana wote mafisadi so kwa mtazamo wa haraka lowasa hawezi kuongea chachote dhidi ya tuhuma za kinana wote wezi tu hao
 
mkuu Ben inawezekana hata yeye anahusika,unakumbuka alipokuwa waziri mkuu alikuwa anafire wakurugenzi kama nini waliokuwa wanatumia vibaya mali ya umma,lakini kwa hili la kinana kimya!! Kazi yake imekuwa kutoa michango makanisani.
Ukitaka kujua upuuzi wa EL ni huu analalamika tatizo la ajira hukua akitoa mamilioni ya harambee.Kwa nini hizo pesa asiwawezeshe vijana wajiajiri na vijana kama blocks/components za makanisa watachangia wenyewe hizo harambee.Na vijana mara nyingi ni watu wa kujisifu pale wanapoonekana kuwa na pesa,hii itakuwa kichocheo.Fisadi mkubwa na mnafiki wa ajabu hana jipya.

Mmeshindwa kuishauri serikali na idara zake kufanya kazi mmehamia kwa EL muacheni mzee wa watu apumzike.
 
EL sio mzee hizo mvi ni za ukoo,na kama ni mzee mbona anakuwa anaznguka nchi nzima kusaka makanisa yanahitaji harambee ili achangie? Mzee gani huyu,haelezi hata chanzo cha mamilioni ya pesa anakoyatoa kama sio ile pesa ya RICHMOND ni nini?
 
Mmeshindwa kuishauri serikali na idara zake kufanya kazi mmehamia kwa EL muacheni mzee wa watu apumzike.

Ataachwa apumzike ikiwa anapumzika kwa hela zake binafsi ambazo hazina jasho la watanzania.Mzee,Unataka kupumzika kwa hela za watu
 
Nani kakuambia Lowassa ni Mkt wa Kamati ya ulinzi na usalama?

Fikiri kabla ya ku-post..
Asante kwa kumpa taarifa.Mwenyekiti UVCCM Kilimanjaro hauwezi kuibuka kwenye hoja muhimu za kitaifa isipokua za kujadili watu hasa inayomuhusu EL.Jifunzeni kujadili issues pia maana mishikaki ya Monduli isije ikawa inawadhalilisha kiasi hiki
 
Ataachwa apumzike ikiwa anapumzika kwa hela zake binafsi ambazo hazina jasho la watanzania.Mzee,Unataka kupumzika kwa hela za watu

cha kuongezea tu,mtu anayepumzika na pesa za watu ni mwizi tena jambazi,majambazi wangapi wanakufa huku wakipumzika na pesa za watu?
 
Mh.Lowasa,wewe kama mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mambo ya nje,unaombwa utoe maelezo kidogo juu ya meli ya Kinana.

Meli ya kinana ilikatwa huko Hong kong ikiwa imebeba nyara za serikali,na wewe kama mwenyekiti wa mambo hayo umekaa kimya.Hebu funguka basi,usibaki kazi yako kutoa michango tu makanisani huku ukiwa umesahau wajibu wako kabisa juu ya kamati yako. Ukimya wako huu unatupa mashaka.

Umekuwa mwepesi sana kuzunguka nchi nzima kutoa michango makanisani huku ukisahau wajibu wako.
Tunaomba mchanganuo wa tuhuma za kinana kuhusu ujangili.

Wacha kupotosha watu, Kinana hana meli.
 
Asante kwa kumpa taarifa.Mwenyekiti UVCCM Kilimanjaro hauwezi kuibuka kwenye hoja muhimu za kitaifa isipokua za kujadili watu hasa inayomuhusu EL.Jifunzeni kujadili issues pia maana mishikaki ya Monduli isije ikawa inawadhalilisha kiasi hiki

Mungu wangu,kumbe jamaa alikuwa hajui uwwiiiiiii
 
Kuna watu wasipomtaja EL hawaliziki endeleeni kumpa promo tu ila riziki ya mtu hamuwezi kuizuia,Bora hata Lowassa ni mchapakazi kuliko hao wanafiki mnaodhani ni waadirifu.
 
Yaani EL ni much much much better than huyou amri jeshi mkuu wa nchi, mzembe na hasiyejua anachokifanya ni anakula na kuchukua chake mapema by 2015 achape mwendo. kumbe hata hz panoni shell zinazojengwa kila siku ni zake. EL ni mchapa kazi sana bora aibe ila kazi anafanya. the more you work hard the more you earn. sasa you dont work hard you only early where do you get the money kama sio wizi mtupu?????
 
ccm wakisoma hii post watakuita mzushi. Ila wao ndo wakweli. Hakika naamini tunatawaliwa name chama cha mzauzu ccm.
 
Back
Top Bottom