Recent content by Kokoliko

  1. Kokoliko

    Wakandarasi wapiga marufuku magari yenye uzito mkubwa kupita Daraja la Nyerere

    Wakuu, daraja lina uwezo wa kubeba Tani nyingi tu, isipokuwa barabara ya upande wa Kigamboni bado ni ya tope, yakuruhusiwa magari mazitoyataiharibu magari madogo hayatawea kupita kwa sasa, Upande wa Kigamboni imeahidiwakumaliziwa ile KM moja kiwango cha lami kabla ya mwezi desemba
  2. Kokoliko

    MDAHALO: Fatma Karume, Othman Masoud kuitikisa nchi Jumapili

    Heading imeonyesha Jumapili bila shaka ni tar 24 Jan
  3. Kokoliko

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Heshima kwake Kamanda Mtoi. Mwenyezi Mungu ampumzishe pema. Huyu ni miongoni mwa waislam wenye akili walionisaidia kuikataa propaganda ya CCM kuwa CDM ni chama cha kanisa 2010.
  4. Kokoliko

    Utafiti wa namna Lowassa atakavyoinufaisha UKAWA

    Utafiti haukuangalia UKAWA wakimsimamisha Lowassa wakati Dr Slaa amekihama chama?
  5. Kokoliko

    TANZIA: Msanii wa muziki wa Dansi, Banza Stone (Ramadhani Masanja) afariki Dunia

    R.I.P Banza Stone, "Mtu Pesa" ni wimbo bora wa wakati wote wa bendi za mziki wa dansi kwangu mimi.
  6. Kokoliko

    Makonda aagiza Hospitali za Kinondoni ziwe na dawati la PF3

    Hatuna askari wa kutosha kufanya doria mitaani, tunataka tukaweke askari ashinde na kulala hospitali kusubiri majeruhi! Sioni mantiki katika hili
  7. Kokoliko

    Watanzania, Msichaguwe Chama Chagueni Kiongozi

    Hujamfahamu huyo dada kwa uislam, huwa hana agenda nyingine, ameona chama chake hakina mgombea muislam mwenye mvuto, sasa anajifanya yeye hajali chama. Akiwekewa Lipumba na UKAWA huyu atamchagua. Yeye akili yake imeegemea dini tu.
  8. Kokoliko

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Ndugu hospitali zilizo kwenye MoU ni pamoja na KCMC na Bugando, uliza kama zinalaza wagonjwa na shuka za misalaba. Msiaminishwe uwongo na wachochezi mkaufanya kuwa ni ukweli
  9. Kokoliko

    SUMAYE: Viongozi wa dini wanaoombea amani waanze kwanza kukemea uovu serikalini

    Maaskofu walikemea sana maovu ya awamu ya tatu, aliwasikiliza? Awaache wenzake waendelee kuiba mpaka watanzania tutakapojua kutumia vizuri sanduku la kura
  10. Kokoliko

    ESCROW ililenga Muhongo na kuangusha serikali

    Ni Tanzania pekee ambapo wezi wanatetewa hadharani kama mashujaa bila aibu. Kikwete alisema angewashangaa wabunge wa CCM kama wangetetea wezi lakini Waziri wake "Mahiri" Ghasia aliwatetea Bungeni bila aibu, sijui tuwaeleweje hawa watu wawili pamoja na mtoa mada?
  11. Kokoliko

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Hiyo ni Tweet ya mtu anaitwa Christian Bwaya alimtag Mdee na ndipo Mdee akairetweet, usitake kumgombanisha na wasanii
  12. Kokoliko

    RPC wa Mkoa wa Simiyu aamrisha Mkurugenzi wa Meatu kumtangaza mgombea wa CHADEMA mshindi

    Hizi ndiyo zile akili zinazotoa simple solutions to complex problems. Typical Magamba style!
  13. Kokoliko

    Kwa watakao piga Kura ya hapana tu

    Hapana
  14. Kokoliko

    UJENZI na shilingi 252 bilioni

    Mheshimiwa Zitto, hapo ndipo ninapokukubali. Nasikitika nimesikia tetesi kwamba unataka usigombee tena ubunge, hilo litakuwa siyo pengo kwa wana kigoma kaskazini pekee bali Tanzania kwa ujumla. Please endelea na Ubunge wakati unajipanga kwa kuongoza nchi.
  15. Kokoliko

    Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nassari Joshua akamatwa na Polisi na kuachiwa kwa masharti

    Kwani wewe hukusikia kwamba Nasari alipigwa Monduli akalazawa hospitali? Sasa kosa lake yeye ni kupigwa? Murji wa Mtwara kashitakiwa kwa sababu ya kupinga ufisadi wa gesi unategemea magamba wamuache?
Back
Top Bottom