- Thread starter
- #21
Hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
umetisha mkuu
Hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooonndioooooooooooooooooon

Hatuwezi kuwa sawa kifikra . Mimi binafsi pamoja na familia yangu tumedhamiria kupiga kura ya hapana kwa katiba iliyopendekezwa tukiwa na sababu maalumu.
Sasa tumekubaliana kushawishi marafiki ndugu, jamaa na marafiki kuipinga katiba hiyo ndani ya kijiji chetu.
Tunao uwezo kwa miaka mitano iliyopita tulijenga ushawishi na akachaguliwa mwenyekiti wa kijiji wa chadema , mwaka uliofuatia wa 2010 tukapigana tukapata diwani wa chadema.
Tutapigana kuhakikisha kura za hapana zinakuwa za kutosha hata kama kura za ndiyo nchi nzima zitashinda lakini hapa kwetu haitawezekani.
Kama utapiga kura ya hapana tuunge mkono kwa kuandika tu neno hapana , ili tulinganishe na wale wa ndio wepi watakuwa wengi.
NAWASHAURI mods wasimamie upigaji wa kura hii ya hapana pamoja na thread ya kura ya ndio itakayofunguliwa na wadau wa ndio ili tulinganishe matokeo yake kabla ya siku ya upigaji kura.
KARIBUNI WADAU.
Hii kura yako, ni ya wazi au ya siri?
hatuwezi kuwa sawa kifikra . Mimi binafsi pamoja na familia yangu tumedhamiria kupiga kura ya hapana kwa katiba iliyopendekezwa tukiwa na sababu maalumu.
Sasa tumekubaliana kushawishi marafiki ndugu, jamaa na marafiki kuipinga katiba hiyo ndani ya kijiji chetu.
Tunao uwezo kwa miaka mitano iliyopita tulijenga ushawishi na akachaguliwa mwenyekiti wa kijiji wa chadema , mwaka uliofuatia wa 2010 tukapigana tukapata diwani wa chadema.
Tutapigana kuhakikisha kura za hapana zinakuwa za kutosha hata kama kura za ndiyo nchi nzima zitashinda lakini hapa kwetu haitawezekani.
Kama utapiga kura ya hapana tuunge mkono kwa kuandika tu neno hapana , ili tulinganishe na wale wa ndio wepi watakuwa wengi.
Nawashauri mods wasimamie upigaji wa kura hii ya hapana pamoja na thread ya kura ya ndio itakayofunguliwa na wadau wa ndio ili tulinganishe matokeo yake kabla ya siku ya upigaji kura.
Karibuni wadau.