ESCROW ililenga Muhongo na kuangusha serikali

ESCROW ililenga Muhongo na kuangusha serikali

waliopata mgao wa escrow utawaona tu kwa mada zao wanazopost
 
Ni Tanzania pekee ambapo wezi wanatetewa hadharani kama mashujaa bila aibu. Kikwete alisema angewashangaa wabunge wa CCM kama wangetetea wezi lakini Waziri wake "Mahiri" Ghasia aliwatetea Bungeni bila aibu, sijui tuwaeleweje hawa watu wawili pamoja na mtoa mada?
 
Kashfa hewa ya Escrow ilibuniwa kwa lengo la kubwa la kwanza kumng`oa waziri Muhongo na la pili ilikuwa kuiangusha serikali.

Naomba nichukue nafasi binafsi kuwashukuru washika mikoba ya utawala wazee wa Dar es salaam, washika nchi waliomeza nembo ya taifa na washika kifimbo cha mwalimu Nyerere kwa kuhakikisha nchi inabaki salama .

Shukrani sana na asanteni kwa kazi nzuri
mtu kama wewe nchi nyingine wanakata chwa.ki.... suali dogo tu.... bila kafulila hiyo 21b ya kodi ingejulikana na kukusanywa? Only in Tz...
 
Kwa hiyo prof. Bibi bomba wa kihaya kaonewa kutimuliwa uwaziri na prof. Tezi dume?
Kama nilielewa vizuri ni kwamba kosa la profesa alichokosea ni kupokea hizo pesa katika a/c yake binafsi. kama ingekwenda moja kwa moja kwenye a/c ya shule isingekuwa tatizo [la kisiasa]
 
Ilibuniwa! Kuiangusha serikali! ....kweli mwenyezimungu aabudiwe kwa uumbaji wa viumbe wake na vipawa na upeo aliowajalia ama kuwanyima.
 
Kashfa hewa ya Escrow ilibuniwa kwa lengo la kubwa la kwanza kumng`oa waziri Muhongo na la pili ilikuwa kuiangusha serikali.

Naomba nichukue nafasi binafsi kuwashukuru washika mikoba ya utawala wazee wa Dar es salaam, washika nchi waliomeza nembo ya taifa na washika kifimbo cha mwalimu Nyerere kwa kuhakikisha nchi inabaki salama .

Shukrani sana na asanteni kwa kazi nzuri
....wasiopenda nchi hii ndio hawa
 
Ikianguka au ikibaki vyote ni sawa na kuanguka tu, maaana haina inachofanya zaidi ya ziara na wizi
 
mtoa mada amesema sahihi kabisa na hata hotuba ya rais mwenye kuielewa unajua dhahiri shahiri kuna wahuni walitaka kuivuruga nchi
 
Msumbiji wanaitaka huduma ya Muhongo kweny ges...watz wanafiki sana.
 
Back
Top Bottom