Mkuu Mohamed Said kwanza pole sana kwa kufiwa na Mzee wako KK poleni sana!! Pili ahsante sana kwa historia hii, ingawa lengo ni kutupa historia ya mchango wa Marehemu Mzee wetu KK kuna jambo limejitokeza hapo ambalo si vibaya siku nyingine ukalipitia kwa kina Zaidi kwa kuwa naona habari hizo...
Well said Mzalendo, well said!! Cha msingi tuwe pamoja na Rais kama kweli tumeamua mara nyingi viongozi wazalendo wa kweli mlinzi wao mkuu ni Wananchi ni muhimu apate kuungwa mkono na wananchi lakini hawa mabeberu wakiona hana support ya kutosha watamwondosha hawa!!! Vita ya uchumi si mchezo...
Hivyo naomba nijue kwanini wakati huu ambapo sera ya serikali ni kubana matumizi na kukata matumizi yasiyo na lazima bado viongozi wanatumia haya magari ya gharama tele eg V8 Land Cruiser nk...? Mbona inakuwa kama tunaziba upande mmoja na kutoboa upande mwingine..?!!
Paskali, hata hii elimu kwenye dhana ya Mwafrika na kwa jinsi tunavyofundishwa ina walakini mkubwa sana. Maana ukiacha tu ukasema basi elimu tu basi ndio matokeo yake tunabaki kusafishwa ubongo nakubaki wajinga waliosoma. Inaelekea hatujui elimu inayotufaa, sijui hii ya academy nasikia yenye...
Ndugu Expirience man nachotaka kusema nishasema labda hujakielewa hilo moja, pili kama hao wageni walikuwa na ajenda ya kidini je sisi katika kurekebisha makosa yao ndio tuegemee kwenye ajenda ya udini pia..? Hekima hiyo unavyoona wewe!!! Na haswa ukizingatia udini huo unachangia kutugawa na...
Bwana Mohamed Said "upuuzi" hapa halikuwa tusi ni kinyume cha hoja yenye mantiki ile isiyo na maana ndio upuuzi sio tusi kamwe!! We ndugu yangu nilichosema mimi sio kuwa hatupendi au hatuwaenzi wapigania uhuru wetu la hasha!! Tena ifike mahali wapewe hadhi ya manabii wetu lakini katika context...
Jamani hii mambo ya Waislamu wakati hata Watanzania tu bado haijakaa sawa hivyo kweli tunajitakia heri au shari hapa...? Watu wenyewe sisi mpaka sasa hata maji ya safi hatujaweza kujikimu leo mnataka kuchimba sana haya mambo ya Waislamu au Wakristo kwenye hivi vinchi vyetu uchwara hivyo msidhani...
Kweli this is disgusting...!!! Wacha mseme mnaosema kuhusu haki yake kuwa na wahindi watupu kwenye manejimenti yake lakini common on hata nchi zilizoendelea ambazo zimezaliwa na kukulia na ubaguzi eg Marekani, Uingereza, nk mpaka sharia zipo kusisitiza diversity!! Unajua hawa Wahindi kesho na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.