Recent content by kokojuju

  1. K

    JamiiForums Tanzania Fastjet nauli siku hizi ni juu mno

    Hivi ni makampuni yote huwa ni kama hii fastjet watu 140 mfano kila mtu anapanda kwa bei yake? Nisaidieni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fastjet nauli siku hizi ni juu mno

    Jamani wanajamvi wenzangu, Nauli za fastjet sasa hivi ni ghali mno tofauti na ilivyoanza. Leo nafanya booking ya kesho Mbeya naambiwa laki nne na upuuzi wakati mwaka juz ilikuwa bei ndogo mno. Mtatuua Fastjet.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    Charles Hilary jamani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

    Wa nini sasa ! Nenda wewe kamtafute alipo Serikali ina mengi yakufanya
  5. K

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Hihhiihii..wanajiweza kumskiliza
  6. K

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Kura nitapiga kwa ninavyoona mimi sio kwa kulazimishwa na mtu yoyote..wajinga ndo waambiwe jinsi ya kupiga kura
  7. K

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Huyu jamaa sjui kasomea wapi hamna kitu kichwani mwake, anakurupuka kelele nyingii..akelee mtoto na flora ndo anachokiweza dini hamna pale ni mwanamziki wa taarabu tuu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

    Nmefikiri na kalio zako..
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    Hapa umenena. Mgurumo wa range noma sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea lakini ndio imetokea, Nifanyeje?

    Hahaaa acha uongo tunakujua udsm wapi wewe
  11. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege Tanzania nimeamini lipo stable

    Haaaa atcl ilishapoteza uhalisia imebaki jina. Mwezi wa nne nlikaa airport masaa nane safari hamna tukabadilishiwa jet. Sijakuelewa mtoa mada unamaanisha ipo ipi iyo au ya fastjet yenye safari nyingii
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tubu kwa kuomba hii sala

    Amen amen and amen
Back
Top Bottom